Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Matusi hata legacy ya sanamu alikuwa nayo lakini hayakumsaidia.Unaongea huku nafsi ikikusuta mpaka matakoni kenge wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matusi hata legacy ya sanamu alikuwa nayo lakini hayakumsaidia.Unaongea huku nafsi ikikusuta mpaka matakoni kenge wewe
Ni sawa na Lissu, nae hayupo sawa sema watu hawalioni hilo ila toka lile shambulizi Lissu hayupo sawa.Alichokisema Diallo ni kweli ila kuna watu hawataamini. Marehemu hakuwa sawasawa wakati wote. Kuna wakati, mara kadhaa alionekana yupo kwenye shida ya magonjwa ya akili, japo wengine wanaweza kuchukulia ni dhihaka.
Nakubaliana na Dr Diallo huwezi kupata katiba kwa kuwategemea wanasiasa kuongoza mchakato.Viongozi wa dini, NGO, wana academia na makundi mengine inawezekana.wana academia wanaweza kuongoza.Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi.
Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima wajipendelee ndio maana katiba ni lazima itengenezwe na wananchi wakisaidiwa na wataalamu kama ilivyofanyika nchini Kenya.
Diallo yuko mubashara Star tv akihojiwa na Aloyce Nyanda.
Utawekwa hapa, ni mjadala muhimu sana!Nasubiri kauli ya katibu mwenezi akimponda Diallo.Kijana hapendi ukweli,Nyanda huo mjadala urushe kama ulivyo unaondoa unafiki wa CCM.
KONGWA mawasiliano ni shida,tusaidiane ujumbe ufike.
Lazima Diallo ataitwa kwenye kamati ya maadili ya chama kama Kinana!Diallo ametema nyongo ya madhila tuliyopata katika awamu ya Magufuli! Amesema kamwe tusije rudia kuchagua mtu ambaye hatuna historia yake!
Diallo ameonyesha wazi hata ndani ya CCM Magufuli hakukubalika bali ni mabavu tu yaliendelea kumweka madarakani
Diallo kupitia kampuni yake ya Sahara Media group bado anaidai CCM fedha nyingi kutokana na matangazo ya kampeni ya mwaka 2015. Pamoja na kuisaidia CCM katika kampeni lakini Magufuli aliamua kuifungia kwa muda na kuinyima matangazo ya biashara kutoka serikalini na hivyo kusababisha kuyumba kiuchumi hadi kushindwa kulipa wafanyakazi mishahara yao.
Aidha Diallo ambaye ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza amedai alionja joto la jiwe la Magufuli hivyo amewaasa viongozi kuwa na busara. Amedai kuwa enzi za Magufuli viongozi walilewa madaraka.
Kwa kifupi Diallo amewaasa viongozi kutii sheria na katiba.
Daah mzee kaongea ponti sana hapa! Ujumbe huu aupate mama wa 'chokochoko'! Asithubutu kuturudisha hukoAmeongeza kwa kusema nchi imepita kwenye kiza kinene ktk kipindi cha miaka 5. Rais wa awamu hiyo hakuheshimu utu, haki na alivunja katiba wazi wazi.
Anaomba tuwe tunarejea histori za wagombea kabla ya kuwapa urais. Kamwe tusirejee tuliyoyapitia.
View attachment 1847668
Hahahaaaa........ Wananchi waachiwe jukumu la katiba mpya!Hongera Diallo , Umetapika Nyongo
Mara ya mwisho nikiwa bwiru boys alikuja kutuhonga tukampigie kula jamaaAmeongeza kwa kusema nchi imepita kwenye kiza kinene ktk kipindi cha miaka 5. Rais wa awamu hiyo hakuheshimu utu, haki na alivunja katiba wazi wazi.
Anaomba tuwe tunarejea histori za wagombea kabla ya kuwapa urais. Kamwe tusirejee tuliyoyapitia.
View attachment 1847668
Mzigo huu ,
Ngoja tujifungie kwanza lisaa lizima tusuuze roho.
Mzigo huu ,
Ngoja tujifungie kwanza lisaa lizima tusuuze roho.
Duuh kweli haya mkuu?Ameongeza kwa kusema nchi imepita kwenye kiza kinene ktk kipindi cha miaka 5. Rais wa awamu hiyo hakuheshimu utu, haki na alivunja katiba wazi wazi.
Anaomba tuwe tunarejea histori za wagombea kabla ya kuwapa urais. Kamwe tusirejee tuliyoyapitia.
View attachment 1847668
Kwa hiyo tuendelee kushehelekea?Ameongeza kwa kusema nchi imepita kwenye kiza kinene ktk kipindi cha miaka 5. Rais wa awamu hiyo hakuheshimu utu, haki na alivunja katiba wazi wazi.
Anaomba tuwe tunarejea histori za wagombea kabla ya kuwapa urais. Kamwe tusirejee tuliyoyapitia.
View attachment 1847668