Dr. Dre asherehekea kuachana na mke wake

Dr. Dre asherehekea kuachana na mke wake

Kama

“ Nuthin But A G Thang “ ilikua produced at Deathrow Records
Basi nyimbo zote zinamilikiwa na Rights zake na Suge Knights aliyekua Boss wa Deathrow Records

Maana kipindi Dre anataka kutoka Deathrow afanye yake independently Suge Knight alimfanyia u mafia alimuambia aondoke kama alivyo na master zote akamuambia hana rights nazo (Fatilia Utaja Niamini Kwa Hili)

Suge alimuendea na genge la wahuni na dre anakumbuka sana tu jinsi Suge alivyomtoa na kuvunja mkataba na Ruthless Records ya Easy E ki babe na Kimafia vile vile. Suge alikua noma sanaa Snoop Dogg mwenyewe alikiri alikua anamuogopa Suge Balaa back in the days.

Carlifonia Love, Na mangoma yote Under Deathrow Dre hana rights nazo zote hzo...forgot about dre na still dre zile ni chini aftermath wakati huo dre tayari yupo independent.
Hayo yote mi nayajua. Ishu niliyokuwa naijibu ni kwamba huo wimbo haukurekodiwa Aftermath bali Deathrow. Ninajua kwamba nyimbo zote ambazo Dre alirekodi Deathrow ziko chini ya Suge Publishingna Dre alipoamua kuondoka aliacha kila kitu. Lakini kingine cha msingi ni kwamba Dre aliamua mwenyewe tu kuachana na masters za The Chronic. Kusema kwamba Suge alimpiga mkwara Dre mpaka akaogopa kudai rights zake ni just an urban legend. Kama Dre angeamua kukomaa naye angeenda mahakamani na angepata haki yake. Ubabe wa Suge Knight uko exaggerated sana. By the way, Eazy E alim-sue Suge kwa kuvunja mkataba wa Dre na DOC kutoka Ruthless na alilipwa hela nyingi tu. Daz Dillinger naye alimshtaki Suge na akalipwa. Suala la kwamba Suge aliwatisha hao watu wakaogopa kudai haki zao ni stori za vijiweni tu.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Lazima iwe ni mwanamke. We mtu anakupatia mahitaji yako yote. Amekujengea nyumba mnaishi, analala hapo ndani kitanda kimoja na wewe. Anakuhudumia na watoto wako. Anakwenda kushinda mjini kutwa nzima baada ya kuondoka asubuhi na anarejea jioni sana saa mbili au tatu usiku.6

Wewe bado kumsumbua sumbua kichwa na drama za kipuuzi na madeko ya kipuuzi. Hivi unadhani watoto wa wenzenu hawana moyo?!

Mnakera sana. So ni kweli ukiona ndoa imevunjika mwanamke kahusika kwa asilimia kubwa sana. Kataa ukataavyo. Unless mwanaume awe na matatizo ya akili kama ukorofi na kupenda kupiga mke kwa kumuonea.

Mkuu uko sahihi kabisa,mwanamke ndiyo chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika na sababu kubwa huwa ni ubinafsi na ulafi. Siku zote mwanamke akiingiza chochote kwenye mahusiano either material(assets ) or non material(love) anataka alipwe zaidi kitu ambacho siyo sahihi. Sisi wanaume tunaweza penda na kumgaramikia mwanamke bila kujali wanatupenda au la. Ndiyo maana wana kamsemo kao ka hovyo sana ,HANIJALI
 
Jamaa kapitia mengi , ukiwa na mwanamke tough aisee utaomba po, nilikuwa na mwanamke mmoja hv daah nilitaman ardhi ipasuke , nikatafta upenyo wa kuchora , sku nimeupata nilishangilia sana nikaenda kutoa na sadaka church
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]umewaza nn!?!!!
 
Hivi Joyce kiria yabebkta yepi da sauti yake ya bafua daoda saivi ada Ben Ted wake wa kuvaa hereni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] (mafua's voice)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji23][emoji16]
 
Ila production ni ya Dre kupitia Aftermath Record na wimbo huu ulimtambulisha Snoop
Wimbo umetoka 91/92 (Deathrow Records). Aftermath imekuja baadaye sana baada ya Dre kuachana na Deathrow
 
Stori yako sio ya kweli. Hakuna mtu aliyemkataza Dre kumuoa Nicole. Pili Nicole hajapewa dola bilioni 1, hela ambayo ni zaidi ya utajiri wa Dre. Mahakama imemuamuru Dre awe anamlipa Nicole hela za matunzo dola 300,000 kila mwezi.
I see!..Ndio matokeo ya kupata Divorce lawyer mzuri,hiyo 300K/month best proffessions huko huko(US) wanazipata kwa mwaka..!!Tena pungufu ya hiyo..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
I see!..Ndio matokeo ya kupata Divorce lawyer mzuri,hiyo 300K/month best proffessions huko huko(US) wanazipata kwa mwaka..!!Tena pungufu ya hiyo..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Right on! US wana sheria za kijinga sana za talaka, hasa kwa watu matajiri. Mkiachana unatakiwa kuingia gharama ili spouse wako aishi standard ile ile ya maisha aliyokuwa anaishi mlipokuwa wote. On top of that gharama zote za kesi, regardless nani amefile zitakuwa za kwako.
 
Right on! US wana sheria za kijinga sana za talaka, hasa kwa watu matajiri. Mkiachana unatakiwa kuingia gharama ili spouse wako aishi standard ile ile ya maisha aliyokuwa anaishi mlipokuwa wote. On top of that gharama zote za kesi, regardless nani amefile zitakuwa za kwako.
Ndio maana P Diddy huwaga na mwelewa sana.
 
Ndio maana P Diddy huwaga na mwelewa sana.

Diddy, 50 Cent, Floyd Mayweather wengine kibao hawataki mambo ya ndoa....dem unamzalisha ila NO ndoa.....

Ndoa kwa matajiri mbele zinaumiza sanaa hasa ukipata mwanamke pasua kichwa utateseka ufe.

50 Cent mwanamke aliyezaa nae mtoto wa kwanza alimsumbua sanaa yet hawana ndoa ana njaa balaaa na hela za jamaa....na 50 mwenyewe mamba dem hakuambulia chochote zaidi ya Child Support na dogo tayari 18+ years apambane na hali yake.
 
SUPER BOWL HALFTIME SHOW 2022

Aiseee hii ni show
acha America iwe America
dk 14 ila unatamani iwe 24 Hrs
Hawa wazee wa kazi hakika vizazi na vizazi wataishi
yaani utazani ni nyimbo za mwaka huu 2022.
Kazi zao zitaishi daima
Dr Dre anajua aisee!
Best performance
uwanja umepangiliwa haswa!
Yaani kila kitu ni kizuri!
hapa unaondoka moyo mweupe show ikiisha coz hela yako imeenda kihalali!
Imebidi niiweke kwenye simu zangu zote
ukitaka uifurahie tumia earphones classic
Then turn up the volume!
shangwe la watu ni balaaa uwanjani
IMG_3048.jpg
 
kuna jamaa alileta point moja katika uzi fulani..
nadhani alikuwa mwanadada..alisema
wanawake huwa hawana wivu wa mapenzi kama wanaume tunavyoamini.
wivu wao huwa kwamba mchepuko anakata mirija yake!!ya ulaji.
wao ukichepuka huwa wanahisi yule uliempata anafaidi vitu vizuri kama fedha na zawadi kuliko wao.imeisha hiyooo

jicheki km mkeo au mpenzi hakuonei wivu jua wee ni maskini.u got nothing to offer

[emoji23][emoji23][emoji23]msitoe siri zetu bana
 
Back
Top Bottom