Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Watanzania sisi ni malofa tena sana tu. Serikali iliyoshindwa kila kitu, imeshindwa kumanage rasilimali zetu,imeshindwa kumanage kodi zetu ili kuleta maendeleo..na kubwa zaidi imelea rushwa katika kiwango ambacho rushwa inaonekana ni sehemu ya kawaida ya maisha..Eti bado tunaipigania kwa nguvu zote iendelee kututawala. Kwa kweli hatusaidiki

kwann hukuipigania chadema asili 2010 tukaitoa ccm uje upiganie chadema ya lowasa ambae katika hayo uliyoyasema na yeye kachangia kiasi kikubwa kua hivyo?
 
to you pals...
Its now obvious that,Dr.J.P.magufuli is at the point of no return,his star is shining like diamonds.his convincing,visionary,working history and speeches speed up his popularity and trust to the Tanzanians.
The more he addresses the greater number of people support him.
Dr.J.P.magufuli is becoming popular as faster as the bushfire in the forest.
He started his move to magogoni very queit and slowly. and its now obvious that he is going to win the general election with a tsunami of votes....with these facts i have a reason to calls DR.J.P.MAGUFULI,THE BUSHFIRE THAT STARTS SLOWLY AND SPREAD FASTER IN THE FOREST.
 
Your total fool..
 
Salamu zetu wanajamvi!

Nianze kwa kuwapongeza mods kwa juhudi zao za kufutilia mbali nyuzi zote zinazolenga kufikirisha umma juu ya ahadi,sera na mbwembwe za ccm na mgombea wao dhidi ya watanzania

Niwapongeze pia kwa kuziacha nyuzi zote zinazoonekana kuisifia ccm na mgombea wao hata kama nizaupotoshaji,sitaki kuamini kuwa hili pia ni jukwa la campain za ccm.

Ni rudi kwenye mada yangu ya Msingi.Watu wote wanaomuunga mkono Magufuli,wanamuunga mkono kwa kuwa ni mchapakazi,muadirifu,mfuatiliaji na Hapa kazi tu.

Naomba wanajamvi na mods mnisaidie mambo haya yanatofauti gani na mifumo iliyokuwa imewekwa na wananchi kupitia rasimu ya pili ya katiba mpya juu ya uadilifu,uwajibikaji na uzalendo na ambayo ilikataliwa na ccm chini ya Six na Mgombea mwenza wa mr.Magufuli?

Je nini sustainability ya uadilifu,uwajibikaji na ufuatiliaji wa magufuli ukilinganisha na ule uliokataliwa na ccm kupitia rasim ya pili ya katiba mpya?

Je nani mwenye nguvu zaidi ya kuyafanya haya yaani kuhimiza uchapakazi,uadirifu,ufuatiliaji na uzalendo kati ya Magufuli na Katiba
 
Naam ni Muadilifu kwa 199%
 
Attachments

  • 1443092783322.jpg
    1443092783322.jpg
    59.7 KB · Views: 109
Makada mbalmbal ya CCM wamekuwa wakimnadi maguful kwa watanzania. Kama mgombea mwadilifu, mchapakaz n.k. Je! Wewe mwananchi una hoja gani kwa hilo?
 
makada mbalmbal ya CCM wamekuwa wakimnadi maguful kwa watanzania. Kama mgombea mwadilifu, mchapakaz n.k je wewe mwananchi una hoja gani kwa hlo?

Ni MZEE was jazba
% kubwa ya watu wa aina hiyo huwa madikteta so hafai kutokana na aina ya maamuzi yake
 
-Ni mwenye jazba,hasira na hataki kushauriwa

-Ni mpiga push up mzuri

Arinseremaaaa...teh teh teh,
 
-Ni mwenye jazba,hasira na hataki kushauriwa

-Ni mpiga push up mzuri

Arinseremaaaa...teh teh teh,

Awamu ya tano hatutaki rais handsome, smiling face etc.

Hatutaki rais anayeitwa dhaifu.
Tunataka sura ya kazi. Akikohoa wote wanajua kimenuka na sio "atafanya nini?".

Hatutaki rais anayeendekeza maswahiba, na mitandao ya supporters wake..
Wanamtandao walimwingiza chaka JK.

Hatutaki rais anayevumilia mawaziri mizigo. Tunataka rais ambaye mawaziri wanajua wakiharibu kinanuka hapo hapo...wanaenda kujiuzuri wenyewe kabla ripoti haijafika kwa mkulu.

"Kama unataka mtu maarufu au umeoenda sura yake nenda kanywe naye chai".

Shikamoo Nyerere.
 
Kheri kuchagua mwizi aliyezungukwa na kundi la waadilifu kuliko kuchagua muadilifu aliyezungukwa na kundi la wezi peopleeeeees power.
 
Bado nakunywa chai nitarudi baadaye kuwaeleza vizuri kwa nini lowassa anafaa pipoooooozi
 
Inaweza kuwa kweli, na ikumbukwe kuwa sifa juu ya waziri mkuu ni utendaji,uchapakazi,uadilifu na mengineyo,,,xo magufuli ni waziri na xo rais ,,finally hana sifa ya kuwa rais hivo rais ni lowassa wadau wangu!!!!!
 
Awamu ya tano hatutaki rais handsome, smiling face etc.

Hatutaki rais anayeitwa dhaifu.
Tunataka sura ya kazi. Akikohoa wote wanajua kimenuka na sio "atafanya nini?".

Hatutaki rais anayeendekeza maswahiba, na mitandao ya supporters wake..
Wanamtandao walimwingiza chaka JK.

Hatutaki rais anayevumilia mawaziri mizigo. Tunataka rais ambaye mawaziri wanajua wakiharibu kinanuka hapo hapo...wanaenda kujiuzuri wenyewe kabla ripoti haijafika kwa mkulu.

"Kama unataka mtu maarufu au umeoenda sura yake nenda kanywe naye chai".

Shikamoo Nyerere.

Ndio maana mkuu TUTAMCHAGUA EDWARD LOWASSA.
 
Soma alichosema Sumaye. Chanzo ni Mwanahalisi online

Wakati huohuo, Waziri Mkuu mstaafu awamu ya tatu, Frederick Sumaye amesema moja ya sababu kubwa zinazomfanya mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli kukosa sifa ya kuchaguliwa, ni kukurupuka katika maamuzi.
Akizungumza katika viwanja vya Tanganyika Packers, jimboni Kawe, Sumaye amesema zipo rekodi nyingi za Magufuli zinazothibitisha kuwa amekuwa mkurupukaji na hivyo kusababisha hasara kubwa kwa taifa.

“Hata mwenyewe amekata tamaa, ameanza kutetea safari za nje za Mheshimiwa Kikwete, hivi rais anawezaje kukaa nje ya nchi kwa zaidi ya nusu ya muda wake aliokaa madarakani? Haiwezekani hizo safari zote zikawa na manufaa kwa Watanzania, kwa kutetea kwake safari hizi, kuna hatari na yeye akafuata mkumbo huohuo,” amesema Sumaye.

“Nchi hii Lowassa akiingia madarakani zaidi ya Sh. bilioni 900 zinatakiwa zilipwe kama faini kwa kuchelewesha kuwalipa wakandarasi, hasara hii imesababishwa na Wizara ya Magufuli na kuna hasara kuhusu meli aliyoikamata ambayo serikali imeshindwa kesi na kudaiwa fidia ya Sh. Bilioni 3.2, amenunua meli mbovu na chakavu akidhani ni mpya, leo hii kwa aibu ile meli haifanyi kazi tena Dar,” amesema.
“Ni mtu huyuhuyu ambaye alitaka kubomoa mpaka jengo la TANESCO wakamuwahi na kumshika shati, yeye hajui kama hilo jengo ni mabilioni ya walipa kodi yametumika kujenga, anajua kubomoa tu matokeo yake mpaka wanamshika shati alishabomoa jengo la serikali la TANROAD na katika kuthibitisha kuwa zilikuwa pupa jengo hilo limeanza kujengwa upya palepale lilipovunjwa,” amesema kabla ya kuongeza:

“Magufuli ni mtu wa maamuzi ya pupa sana. Katika nchi zinazofuata utawala bora alitakiwa kulipa hizo gharama… sasa huyu anataka urais, tumeona akiwa waziri tu anakurupuka na watu wanawahi kumshika shati, hivi akiwa Rais nani atamshika Rais shati?”
 
UKAWA itisheni press conference na mtoe elimu ya kupiga kura kwa wananchi. Asiende mtu mmoja kama Mbatia bali siku hiyo jopo zima liwepo ili kuweka uzito na iwe live.

Vinginevyo, kama wadau walivyosema hapo juu, uwezekano wa dotCom, bodaboda, na wapiga kura wengine ambao hawana experience kuharibu kura kwa kuweka X kwa wagombea wengine ni mkubwa mno ukizingatia uchaguzi huu ndio wa kwanza wa aina yake kwa watanzania kujitokeza kwa maelfu kupiga kura. Hawana experience na Tume haitaki kuwaelimisha, wasaidieni.
 
Makada mbalmbal ya CCM wamekuwa wakimnadi maguful kwa watanzania. Kama mgombea mwadilifu, mchapakaz n.k. Je! Wewe mwananchi una hoja gani kwa hilo?

uzuri wa lowassa ni upi hasa...?
 
UKAWA itisheni press conference na mtoe elimu ya kupiga kura kwa wananchi. Asiende mtu mmoja kama Mbatia bali siku hiyo jopo zima liwepo ili kuweka uzito na iwe live.

Vinginevyo, kama wadau walivyosema hapo juu, uwezekano wa dotCom, bodaboda, na wapiga kura wengine ambao hawana experience kuharibu kura kwa kuweka X kwa wagombea wengine ni mkubwa mno ukizingatia uchaguzi huu ndio wa kwanza wa aina yake kwa watanzania kujitokeza kwa maelfu kupiga kura. Hawana experience na Tume haitaki kuwaelimisha, hebu wasaidieni.
 
Kiongozi wakweli ni yule anayekuwa na Hofu ya mungu na kuweza kujali wanzake kwa kuwapa haki yao, Tanzania ni muda mrefu sana hatujapata kiongozi ambaye anaweza kujitoa kwa ajili ya watu wengine lakini kwa sasa tunamshukuru mungu kwa kutupa kiongozi mzuri Dk.Magufuli kwa kutupa matumaini ya kuirudisha hii nchi kwenye misingi ya Maendeleo bora na Haki kwa kila mtanzania, Vigogo Wanasiasa ambao wamelifanya ili Taifa kama Shamba la BIBI kuchuma wanavyotaka na kuwaancha wananchi wakikosa msaada na wazalengo.

Magufuli tunakushukuru kwa kutupa matumaini mapya na tumekuona kwenye wizara nyeti ya Ujenzi wa Hii nchi na umekuwa mwadilifu na mchapakazi bora kwa kweli wewe kama Rais ajae utaweza kurudisha hii nchi kwa Watanzanial.

Hongera sana TINGATINGA TUNAOMBA BAADA YA TAREHE 25 UKIWA RAIS HAKIKISHA VILE VIPAUMBELE VYAKO TUNAVIONA KWA KWELI KAMA ULIVYOTUFANYIA KWENYE UVUVI, TANROAD, NA BAADHI YA HUDUMA ULIZOZIPIGANIA.
 
Kheri kuchagua mwizi aliyezungukwa na kundi la waadilifu kuliko kuchagua muadilifu aliyezungukwa na kundi la wezi peopleeeeees power.

kaka nani mwadilifu sasa? Unamaanisha yule pombe?
 
Back
Top Bottom