Profesa Mchumia Tumbo.Hakuna Mana Ya Uprofesa Wote Feki.Tuna Maprofesa Kibao Hakuna Lolnte Walichokisaidia Nchi
Ukisoma vizuri utaona kwamba huyu Mzee (Wamba) alikwenda Marekani kusoma baada ya kumaliza sekondari na kubakia huko mpaka alipomaliza na kuanza kufundisha, na baadaye kuja Mlimani mwaka 1980 (akitokea Marekani) kufundisha, hivyo wakati alivyokuja Mlimani tayari alikuwa anafundisha Chuo Kikuu cha Harvard huko Marekani! (kulingana wiki!) Hivyo nilazima alikuwa na PhD!
He went to Western Michigan University in Kalamazoo, where Wamba wrote his honors dissertation on the philosophers Maurice Merleau-Ponty and Jean-Paul Sartre. He later went on to graduate studies at Claremont before teaching at Brandeis University, where he was associated with Peter F. Drucker. He went on to teach at Harvard University in Cambridge, MA.
Hahahaaa wewe bana! Hujaonyesha popote panaposema alipata PhD achilia mbali aliipatia chuo gani na mwaka gani. Mtu kupata shahada ya kwanza na kwenda graduate studies haimaanishi ndo kapata PhD. Hata Master's ni graduate study na mtu anaweza akawa na Master's mbili, hence graduate studies.
Hiyo unayolazimisha kwamba kufundisha Harvard ni lazima uwe na PhD, nataka unipe source. Manake hapo naona umebabaika tu na hilo jina la Harvard na si kingine.
Naomba unitowe mimi katika hao Watanzania.
Unaelewa maana ya Dissertation? Dissertation ni PhD thesis! Ukisikia mahali mtu ameandika Dissertation maana yake ni kwamba ameandika PhD thesis!
where Wamba wrote his honors dissertation on the philosophers Maurice Merleau-Ponty and Jean-Paul Sartre
Hii habari ya kujilimbukia Ph.D kwa kutaka kuitwa Dr. hata kwa Ph.D za kupewa ni habari ya ulimbukeni wa nchi ambazo hazina access na elimu na Ph.D inaonekana kuwa ni kitu cha ajabu.
Huwa namtania sana Miss Thang, namwambia "ukimaliza Ph.D yako I will get such a kick out of calling you Dr (her name)". Akisikia hivyo huwa ana ni shoot down kichizi, hataki kuitwa Dr. outside of academic circles, anataka nimuite jina lake kama sasa tu.
Nchi nyingine, depending on the circles, ukiwa una parade Ph.D unaonekana a failure, a pretentious nerd. Wajanja walikuwa kwenye Ph.D track wameanzisha Google huko, wewe unaenda kuwa Ph.D unaenda kulipwa a measly sum na kufundisha some ungrateful brats.
Ndiyo maana unakuta mtu kama Nyerere, aliyejimix ma Edinburgh huko kitambo, hata kujinadi na u Dokta wa kupewa huwezi kumsikia.
Yeye alishajipa u Dokta wake mwenyewe wa Kiafrika tangu zamani. Mwalimu. Which is basically what the Doctor in Ph.D is. Dotori.
Sasa Nyerere was original in that. He created a uniquely Tanzanian and uniquely Nyerereist honorific. Kiasi kwamba hata Mwinyi, ambaye naye alikuqa mwalimu, hakuitwa "Mwalimu Mwinyi".
These other apes will just keep on aping.
Hahaa haa Nyani Ngabu umeiona hiii....
Professors wapo wengi hata Maji Marefu ni Prof.
Prof. Wamba spoke at the BPAF March meeting, about some current projects and possibilities with BPAF. Prof. Wamba returned to Boston briefly, after an absence of 10 years. He was born in the westernmost province of the former Belgian Congo.
After early schooling under Belgian colonialism, he finished college in the U.S., receiving a bachelor's degree in philosophy from Western Michigan University (1968) and a master's degree in business administration from the Claremont Graduate School in California (1972). He taught Africana Studies at Brandeis University, Harvard University, and Boston College. In 1980, Wamba became a professor of history at the University of Dar es Salaam in Tanzania.
Wamba is also a prominent academic and political theorist. He was elected president of the leading social science organization for African intellectuals, the Council for the Development of Social Research in Africa (CODESRIA). His articles have appeared in an array of publications, including Journal of Historical Sociology, Zmag, Pambazuka News, and other journals.
Once decolonization began in Africa, Wamba rose to leadership among his activist intellectual peers in Africa and around the world. He was elected president of Africa's leading social science organization for intellectuals, the Council for the Development of Social Research in Africa (CODESRIA). He also served as a close advisor to the late President Julius Nyerere of Tanzania in his 1994 efforts to address the genocide in Central Africa.
In 1997, Wamba was named a recipient of the Prince Claus Award for Culture and Development which cited his "scholarly contribution to the development of African philosophy and for sparking off the philosophical debate on social and political themes in Africa."
After Laurent Kabila was installed as President under considerable controversy, Professor Wamba was unanimously elected head of the liberation organization called Rally for Congolese Democracy. Following the Inter-Congolese Dialogue that ended the war, Wamba became a prominent member of the new government serving as a member of the national Senate and worked on drafting a new constitution to guide the process of building peace and democracy.
Source
Naona umeamua Tu kubisha, Basi tuachie Hapo!
Sijaamua tu kubisha. Nimekuwekea hiyo release hapo juu na penye ubishani nimepakoleza na rangi nyekundu.
Nchi hii ukitaka upande chati ghafla na baadaye uporomoke ghafla waandame wapinzani,utajikuta upo juuWaheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo.
Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor.
Hongera Professor Mkumbo
Umesahau 'Senior lecturer' kabla ya associate professor.
Na pia, kwa UDSM, at least zamani (sina hakika kwa sasa) mtu kuwa full professor wala haikuhitaji PhD.
Kama unaweza, angalia prospectus za miaka ya 70, 80, na 90. Wamba dia Wamba hakuwa na PhD na alikuwa full professor!
Lakini tukizungumzia elimu tu, mtu mwenye PhD ana elimu kubwa kuliko full professor mwenye Master's.
Vile vile, wapo ma-PhD ambao hawana Master's. Yaani wana Bachelor's halafu wakaenda moja kwa moja kwenye PhD. Namjua mmoja alifanya hivyo lakini sitamtaja humu kwa sababu za privacy lakini mnaweza ku-guess na mkapatia....hahahahaaa
Kumbe Prof alifundisha Yard, ilikuwa lini hiyo?
BTW, mbona umepotea baada ya WN kuibuka?
Umesahau 'Senior lecturer' kabla ya associate professor.
Na pia, kwa UDSM, at least zamani (sina hakika kwa sasa) mtu kuwa full professor wala haikuhitaji PhD.
Kama unaweza, angalia prospectus za miaka ya 70, 80, na 90. Wamba dia Wamba hakuwa na PhD na alikuwa full professor!
Lakini tukizungumzia elimu tu, mtu mwenye PhD ana elimu kubwa kuliko full professor mwenye Master's.
Vile vile, wapo ma-PhD ambao hawana Master's. Yaani wana Bachelor's halafu wakaenda moja kwa moja kwenye PhD. Namjua mmoja alifanya hivyo lakini sitamtaja humu kwa sababu za privacy lakini mnaweza ku-guess na mkapatia....hahahahaaa
Alienda sabbatical leave lini? Amefanya utafiti gani ? Kaandika juu ya nini?