Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Many Congrats Prof. Kitila.
Tetea Watanzania na si chama. Umeajiriwa na TAALUMA yako na si mtu mwingine.
Ukweli utakuweka huru.
Naomba unitowe mimi katika hao Watanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Many Congrats Prof. Kitila.
Tetea Watanzania na si chama. Umeajiriwa na TAALUMA yako na si mtu mwingine.
Ukweli utakuweka huru.
Mkuu,nafasi ya Uprofesa haidhinishwi na Seneti. Ni Baraza la Chuo ndilo linalohusika na suala hilo. Kikao cha juzi ni cha Baraza.Hivyobasi,suala hilo lawezekana. Hiyo ni nafasi ya juu ya kutoka Mhadhiri Mwandamizi hadi Profesa Mshiriki
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo
Mwenye details atueleze kafanya research ya nini?
Profesa ni Profesa, Profesa ni cheo cha kisomi sio cha siasa. Kwenye usomi kila mtu hutumia cheti chake. Cha Prof. Lipumba sio cha Prof. Mwandosya. Wanaojua thamani a cheo cha kitaaluma ni wana taaluma. Wanaomjua daktari wa ukweli ni madaktari wenzie na ndiyo wanaompa heshima. Heshima mume aijua mkewe.
Namjua si anaitwa Dr Shikwete
Kama atakuwa amepandishwa atakuwa siyo professor bali ni associate professor. Utofautishe hivi vitu. Huwezi kutoka dr kuwa professor moja kwa moja. Kuna cheo hapo katikati ambacho nimekitaja hapo juu. Ukome kudanganya umma
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo
Hawezi kuwa Prof.kabla ya kwenda hata Sebbatical leave , alienda lini Sebbatical ? Na hata kama alienda atakuwa Associate Prof.."........ Aidha ameshatoa chapisho lolote ? Ameandika nini ? Msitulishe upepo bana
Mkuu Yule Aliyeiuza TTCL KWA AIRTEL Ni Prof Mark Mwandosya
Mkuu Amicu,naomba nijuze wajumbe wa Baraza la Chuo!
Anajiita mchumi halafu akiulizwa kwanini nchi yako ni masikinin licha ya kujaliwa raslimali lukuki ana sema hajuiBora yeye kazipata kwa jasho, kuna mtu hata hajasome ila anaitwa Dr fulani
Bora hata huyo anaweza kukuelekeza peponi. Sasa huyo mwingine anajidai ni mchumi wakati anasema hajui kwanini nchi anayoiongoza ni masikiniJe yule mwenye degree za kanisa?
Bora hata huyo anaweza kukuelekeza peponi. Sasa huyo mwingine anajidai ni mchumi wakati anasema hajui kwanini nchi anayoiongoza ni masikini
Mpe hongera zake ila Tanzania tunawahitaji wasomi kama waakina Dr Asanterabi Malima kwa sasa.Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo
Bora yeye kazipata kwa jasho, kuna mtu hata hajasome ila anaitwa Dr fulani