Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Mkuu Amicu,naomba nijuze wajumbe wa Baraza la Chuo!
Mkuu,nafasi ya Uprofesa haidhinishwi na Seneti. Ni Baraza la Chuo ndilo linalohusika na suala hilo. Kikao cha juzi ni cha Baraza.Hivyobasi,suala hilo lawezekana. Hiyo ni nafasi ya juu ya kutoka Mhadhiri Mwandamizi hadi Profesa Mshiriki
 
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo

Hawezi kuwa Prof bila kuwa Associate Proffessor

Hongera Ass Prof ( prof ) kitilla ...ni mafanikio makubwa Sana na amepata akiwa na umri mdogo ....,namkumbuka Huyu Baada ya kuwa Rais miaka ya 95 alipomaliza aliajiriwa pale Estates Department ya UDSM ,ninayo business card yake ya kwanza kabisa akiwa Warden ....kabla ya mwaka 2000 ...au so ....tena akiwa na degree Moja tu .....Sasa Kama ndani ya miaka 14 ameweza kuwa Proffessor ....nampongeza Sana ......,angebweteka angekuwa bado anagawia wanafunzi vyumba hadi Leo .
 
Profesa ni Profesa, Profesa ni cheo cha kisomi sio cha siasa. Kwenye usomi kila mtu hutumia cheti chake. Cha Prof. Lipumba sio cha Prof. Mwandosya. Wanaojua thamani a cheo cha kitaaluma ni wana taaluma. Wanaomjua daktari wa ukweli ni madaktari wenzie na ndiyo wanaompa heshima. Heshima mume aijua mkewe.

Haya basi twende huko kwenye huo unaouita Usomi, wamefanya nini?
 
Ma ass.profs kwa ccm wote ni maprof,orodha ni ndefukuanzia kichwa chao Tibaijuka!
Kama atakuwa amepandishwa atakuwa siyo professor bali ni associate professor. Utofautishe hivi vitu. Huwezi kutoka dr kuwa professor moja kwa moja. Kuna cheo hapo katikati ambacho nimekitaja hapo juu. Ukome kudanganya umma
 
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo

Boooooongooooo.

Hivi professor ni nani na Dr. ni nani?

Na kipi kina prestige zaidi?

Kwa nini?

Nyani Ngabu tusaidie wengine hapa kuelewa maana you have the best of both worlds in this matter.

Naangalia kinyamwezi it doesn't make.

Au u Professor bongo ni cheo fulani, as opposed tu mwalimu wa chuo kikuu?
 
Last edited by a moderator:
Hawezi kuwa Prof.kabla ya kwenda hata Sebbatical leave , alienda lini Sebbatical ? Na hata kama alienda atakuwa Associate Prof.."........ Aidha ameshatoa chapisho lolote ? Ameandika nini ? Msitulishe upepo bana

Kwenda sabbatical sio kigezo cha kuwa professor! Vigezo ni published work.
 
Mkuu Amicu,naomba nijuze wajumbe wa Baraza la Chuo!

Kuna wajumbe wanaotokea sehemu mbalimbali likiwemo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kwasasa,Wajumbe watokanao na Bunge ni Mbunge Stella Manyanya na Mbunge Jason Rweikiza. Pia wapo wateuzi wa Waziri wa Elimu;Mkurugenzi wa Elimu ya Juu; Wawakiishi wa vyama vya wafanyakazi na Baraza la Wafanyakazi;Mwaklishi wa UDASA;Rais na Makamu wake wa DARUSO na Wajumbe wanaoteuiwa na Baraza lenyewe.

Mkuu Magwangala,fahamu ya kuwa kwasasa Baraza linaongozwa na Ndugu Peter Ngumbulu na Makamu wake ni Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba. Katibu wa Baraza ni Mwanasheria wa Chuo
 
Last edited by a moderator:
Bora yeye kazipata kwa jasho, kuna mtu hata hajasome ila anaitwa Dr fulani
Anajiita mchumi halafu akiulizwa kwanini nchi yako ni masikinin licha ya kujaliwa raslimali lukuki ana sema hajui
 
Proffesa?? Sio Associate Prof kwanza? Au kapita moja kwa moja kuwa full prof kwa lipi?
 
Bora hata huyo anaweza kukuelekeza peponi. Sasa huyo mwingine anajidai ni mchumi wakati anasema hajui kwanini nchi anayoiongoza ni masikini

Mkuu kama peponi ni nyumba ya chadema na kubaliana na wewe
 
ACT cama za viongozi wasomi......... kinaongozwa na Professor ////watu kimyaaaaaaaaa aibu tupu
 
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo
Mpe hongera zake ila Tanzania tunawahitaji wasomi kama waakina Dr Asanterabi Malima kwa sasa.
 
Back
Top Bottom