Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

nicholau

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
133
Reaction score
49
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo.

Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor.

Hongera Professor Mkumbo
====================
Dk.+Kitila+Mkumbo.png
====================
CV ya Proff. Kitila Mkumbo imeambatanishwa pamoja na List, Sifa na Publications za wote

Curriculum Vitae

Kitila Alexander Kanyama MKUMBO (Ph.D)

Associate Professor in Psychology and Education

Department of Educational Psychology and Curriculum Studies

School of Education

University of Dar es Salaam

P O Box 35048, Dar es Salaam, Tanzania.

Email: kitilam@udsm.ac.tz and kitilam@yahoo.com

UDSM Press Release: https://udsm.ac.tz/sites/default/files/PROMOTION - ACADEMIC JULY 2014.pdf
 
Attachments

Haya sasa Prof. KITILA MKUMBO vs Ndugu TUNDU LISSU, lissu aokote makopo.
 
Hongera Prof... Naamini kwa juhudi hizo hizo utapanda kutoka Associate Professorship hadi full Professorship... Nakutakia kila la Heri...
 
Hawezi kuwa Prof.kabla ya kwenda hata Sebbatical leave , alienda lini Sebbatical ? Na hata kama alienda atakuwa Associate Prof.."........ Aidha ameshatoa chapisho lolote ? Ameandika nini ? Msitulishe upepo bana

Kama wwe siyo mfuatiliaji na msomaji wa research za wasomi lazima uulize maswali ya kipuuzi kama haya.
 
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo

Mkuu,nafasi ya Uprofesa haidhinishwi na Seneti. Ni Baraza la Chuo ndilo linalohusika na suala hilo. Kikao cha juzi ni cha Baraza.Hivyobasi,suala hilo lawezekana. Hiyo ni nafasi ya juu ya kutoka Mhadhiri Mwandamizi hadi Profesa Mshiriki
 
Haya sasa Prof. KITILA MKUMBO vs Ndugu TUNDU LISSU, lissu aokote makopo.
professor Mkumbo kuwa na marafiki sampuli yako ndicho kilichomshushia hadhi nchi hii atapewa kila aina ya cheo lakini bado kabatizwa msaliti maana anamarafiki wasio na hadhi ya Lissu kiusomi hata kifikra,hata kama Mkumbo ana beef na Lissu asikuttumie kanjanja kama wewe
 
Profesa Mchumia Tumbo.Hakuna Mana Ya Uprofesa Wote Feki.Tuna Maprofesa Kibao Hakuna Lolnte Walichokisaidia Nchi
 
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo

Hata Muhongo naye ni profesa lakn anazidi kuuza nchi kila siku na mpka leo hamna Umeme, Lipumba naye ni Profesa lkn anashangilia Serikali ya Uingereza kupitia BBC kufungua Kituo Chake Nchini mwetu, hata Magembe naye ni profesa lkn ni fisadi namba 1, hata yule wa Wizara ya Mawasiliano pia jina nimemsahau ni profesa lkn TTCL kwishney orodha inaendelea!
 
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo

Mmeona Kaanza Kusahaulika Mmeona Mje Kuanza Kumfufua. WATAALU WA ELIMU NJOONI MTUELEZE HAPA INAKUWAJE?
 
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo

Badiri Title:Aliyekuwa Dr.Kitila Mkumbo Awa Professor! Itakuwa poa maana unavyosema sasa sio Dr wakati wewe still unamwita Dr.
~Huyo si yupo ACT? Mtumikie kafiri upate wako mtaji,na atapanda sana vyeo!! Soon tutasikia VC.
 
Sipati picha MKUMBO bado angekuwa CHADEMA, watu wangekuwa wanawashwa sana humu JF, leo wanamponda
 
Kama wwe siyo mfuatiliaji na msomaji wa research za wasomi lazima uulize maswali ya kipuuzi kama haya.

Ka anda mdahalo wa wahuni pale chuo Kikuu basi kahongwa duh kweli wasomi midebwedo
 
Back
Top Bottom