Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Sipati picha MKUMBO bado angekuwa CHADEMA, watu wangekuwa wanawashwa sana humu JF, leo wanamponga

Huyo Ni Mchumia Tumbo Km Alikuwa Anahongwa Na Zzk Laki2 Ili Kusaliti Chama,sasa Huo Uprofesa Utamsaidia Kweli?Na Uelewe Wazi Uprofesa Unaupata Sbb Yupo Act Ili Lengo La Ccm Itimie.Ni Suala La Mda Tu Atapewa Tuzo Kibao.
 
Hata Muhongo naye ni profesa lakn anazidi kuuza nchi kila siku na mpka leo hamna Umeme, Lipumba naye ni Profesa lkn anashangilia Serikali ya Uingereza kupitia BBC kufungua Kituo Chake Nchini mwetu, hata Magembe naye ni profesa lkn ni fisadi namba 1, hata yule wa Wizara ya Mawasiliano pia jina nimemsahau ni profesa lkn TTCL kwishney orodha inaendelea!
Hapo tumekuelewa, sasa tupe Prof. mmoja wa CHADEMA aliyefanya chochote, usije na BAREGU na njaa zake aliona mnataka kumletea za kuleta asichote mlungula wa Tume ya Waryoba akawashushua kwa kuwaambia Tanzania kwanza CHADEMA baadaye
 
Kama atakuwa amepandishwa atakuwa siyo professor bali ni associate professor. Utofautishe hivi vitu. Huwezi kutoka dr kuwa professor moja kwa moja. Kuna cheo hapo katikati ambacho nimekitaja hapo juu. Ukome kudanganya umma
 
Mkuu,nafasi ya Uprofesa haidhinishwi na Seneti. Ni Baraza la Chuo ndilo linalohusika na suala hilo. Kikao cha juzi ni cha Baraza.Hivyobasi,suala hilo lawezekana. Hiyo ni nafasi ya juu ya kutoka Mhadhiri Mwandamizi hadi Profesa Mshiriki

Uko sawa kabisa, na ndo maana unaanza kuwa i.tutorial assistance ,ii.Tutor, iii.assistance lecturer, iv.lecturer, v.senior lecturer ,vi.prof. mshiriki "associate prof" na baadae kuja kuwa vii.prof. kamili (full professor"., viii. distinguished /endowed prof.Kwa hiyo kwa sasa mi nadhani huyu sasa atakuwa Associate Prof . na akiwa nguli katika cheo hiki alicho nacho atakuwa full prof , akipiga mambo adimu zaidi anakuwa distinguished prof.

Ila kina Dr. M.K.W.E.R.E naona wanakuwa kundi la pekee 'doctor honoris cousa
 
Uprofesa ama udokta unamanufaa gani kwa nchi hivi sasa ikiwa ccm ni moja ya vyama barani Afrika iliyosheni Maprofesa na Madokta lakini ni moja ya chama cha wapumbavu duniani?

Serikali ya Yusufu Lule ndio serikali iliyowahi kuwa na maprofesa wengi zaidi duniani lakini ikivunja rwkodi kwakuwa serikali iliyodumu kwa mda mfupi zaidi duniani, ilidumu kwa masaa 18 tu,
 
Hapo tumekuelewa, sasa tupe Prof. mmoja wa CHADEMA aliyefanya chochote, usije na BAREGU na njaa zake aliona mnataka kumletea za kuleta asichote mlungula wa Tume ya Waryoba akawashushua kwa kuwaambia Tanzania kwanza CHADEMA baadaye

kwa hiyo Baregu yuko kwenye chama cha mama yako...
 
Kama atakuwa amepandishwa atakuwa siyo professor bali ni associate professor. Utofautishe hivi vitu. Huwezi kutoka dr kuwa professor moja kwa moja. Kuna cheo hapo katikati ambacho nimekitaja hapo juu. Ukome kudanganya umma

Wasame Bure wanapenda kukurupuka sana wanatokaga chooni hawanawi mikono wakina hapa ni Arufu kila mahali
 
Hata Muhongo naye ni profesa lakn anazidi kuuza nchi kila siku na mpka leo hamna Umeme, Lipumba naye ni Profesa lkn anashangilia Serikali ya Uingereza kupitia BBC kufungua Kituo Chake Nchini mwetu, hata Magembe naye ni profesa lkn ni fisadi namba 1, hata yule wa Wizara ya Mawasiliano pia jina nimemsahau ni profesa lkn TTCL kwishney orodha inaendelea!

Mkuu Yule Aliyeiuza TTCL KWA AIRTEL Ni Prof Mark Mwandosya
 
Hongera Prof. Mkumbo
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo
 
Hawezi kuwa Prof.kabla ya kwenda hata Sebbatical leave , alienda lini Sebbatical ? Na hata kama alienda atakuwa Associate Prof.."........ Aidha ameshatoa chapisho lolote ? Ameandika nini ? Msitulishe upepo bana

wivu wa kike huu
 
Many Congrats Prof. Kitila.

Tetea Watanzania na si chama. Umeajiriwa na TAALUMA yako na si mtu mwingine.

Ukweli utakuweka huru.
 
hawezi kuwa prof.kabla ya kwenda hata sebbatical leave , alienda lini sebbatical ? Na hata kama alienda atakuwa associate prof.."........ Aidha ameshatoa chapisho lolote ? Ameandika nini ? Msitulishe upepo bana

ameshakuwa sasa, hata kama hutaki.
 
Profesa ni Profesa, Profesa ni cheo cha kisomi sio cha siasa. Kwenye usomi kila mtu hutumia cheti chake. Cha Prof. Lipumba sio cha Prof. Mwandosya. Wanaojua thamani a cheo cha kitaaluma ni wana taaluma. Wanaomjua daktari wa ukweli ni madaktari wenzie na ndiyo wanaompa heshima. Heshima mume aijua mkewe.

Back
Top Bottom