Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,861
- 810
tuna prof maji marefu, hatimaye ACT nao wana prof wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaa Dr Slaa ni profesa wa nini??Mbona na Dr. Slaa ni professor lakini ajitambi, mbona Mwlm Nyerere alikuwa Prof. lakini alikufa akiitwa mwalimu acha usamba u-prof ni jina tu kama la majimarefu ua professor J
Hii nayo ni si hasa?
Msukule ukifufuliwa lazima uanze kubung'aa kushangaa ya dunia, kila jambo ni jipya....
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo
This is great Meandu, I think to be fair Dr. Kitila Mkumbo asihukumiwe kwa political affiliation/ideology (at least kwa hili la academic), because kuna vigezo vya kumfanya mtaaluma apate promotion kama press release inavyo ainisha kwa wale waliotajwa. Muhimu hapa, ni kupata evidence kama iliyowekwa hapo juu, then ikibidi tupate links za international and national journals alizopublish kazi zake - just for learning curiosity! Ni imani yangu kuwa the University Council hufanya haki kwa wote wanaostahili, wakiongozwa na slogan maarufu, 'you either publish or you perish'
Uwe unasoma mabandiko mengine kabla ya kuleta uzi wako hapa. Hiyo habari tayari iko jamvini.Acha misifa na kujipendekeza
WanaJF,
Naamini wote tunamfahamu ndugu Kitila Mkumbo kwa wadhifa wake wa uhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Katika wadhifa wake huo yeye amesimama kwa kiwango cha elimu cha Ph.D na alikuwa akiitwa Dr. Kitila Mkumbo kwa kipindi kirefu kwa sasa.
Ila kwa sasa ndugu Kitila Mkumbo ameukwaa u-professor rasmi na kuanzia leo atakuwa akijulikana kama Prof. Kitila Mkumbo!
Taarifa hii ni dhahiri itawatia hasira sana watu wa CHADEMA huku wakiongozwa na babu Slaa bila kumsahau Mbowe!
Jamani, wote kwa pamoja tutumie fursa hii kumpongeza ndugu Kitila Mkumbo kwa kuukwaa u-professor!
WanaJF,
Naamini wote tunamfahamu ndugu Kitila Mkumbo kwa wadhifa wake wa uhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Katika wadhifa wake huo yeye amesimama kwa kiwango cha elimu cha Ph.D na alikuwa akiitwa Dr. Kitila Mkumbo kwa kipindi kirefu kwa sasa.
Ila kwa sasa ndugu Kitila Mkumbo ameukwaa u-professor rasmi na kuanzia leo atakuwa akijulikana kama Prof. Kitila Mkumbo!
Taarifa hii ni dhahiri itawatia hasira sana watu wa CHADEMA huku wakiongozwa na babu Slaa bila kumsahau Mbowe!
Jamani, wote kwa pamoja tutumie fursa hii kumpongeza ndugu Kitila Mkumbo kwa kuukwaa u-professor!
Msukule ukifufuliwa lazima uanze kubung'aa kushangaa ya dunia, kila jambo ni jipya....
Nampa hongera zake, kwani anastahili!WanaJF,