Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Dr. Kitila Mkumbo awa Profesa

Mbona na Dr. Slaa ni professor lakini ajitambi, mbona Mwlm Nyerere alikuwa Prof. lakini alikufa akiitwa mwalimu acha usamba u-prof ni jina tu kama la majimarefu ua professor J
Khaa Dr Slaa ni profesa wa nini??
 
Duh, hongera yake, maana bongo tuna maprof. Wengi kama prof. J, prof maji marefu, prof. Maghembe nk. Wengi hawana maslahi kwa taifa kamwe.
 
Kuwa Prof : (1) Uwe na PhD au equivalent yake, (2) Uwe una fundisha/ulifundisha chuo kikuu, (3) Uwe na publications za kutosha, (4) Uwe na uzoefu usiopungua miaka saba katika fani uliyobobea.
 
Pia kuna Research (Mtafiti) Profesa. Huyu haitaji kufundisha Chuo kikuu ila anatakiwa awe na publications za tafiti zake nyingi na uzoefu usiopungua miaka zaidi ya kumi na miwili.
 
Waheshimiwa, habari nilizonazo ni kuwa juzi kikao cha senet Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imemtunuku hadhi ya Uprofesa Dr. Kitila Mkumbo. Kwa hiyo kuanzia sasa sio tena Doctor bali ni Professor. Hongera Profesor Mkumbo

hii habar imenifurahisha,kwanza kitila bado ni kijana sana,kwa sababu ni maswala ya kitaaluma nampongeza sana,aachane na mambo ya siasa,yanamdhalilisha tu,Dr.Kitila alikua mwalimu wangu idara ya saikolojia,namshaur hadh ya usomi wake ajikite kuwasaidia watanzania kielim,sio kudhalilishwa na watu wasiosoma ambao wanadaiwa kumrubun kwa laki 2,hata kama sio kweli ila angekua mbali nao asingeaibika
Hongera Prof,ww ni miongon mwa maprof Vijana
 
This is great Meandu, I think to be fair Dr. Kitila Mkumbo asihukumiwe kwa political affiliation/ideology (at least kwa hili la academic), because kuna vigezo vya kumfanya mtaaluma apate promotion kama press release inavyo ainisha kwa wale waliotajwa. Muhimu hapa, ni kupata evidence kama iliyowekwa hapo juu, then ikibidi tupate links za international and national journals alizopublish kazi zake - just for learning curiosity! Ni imani yangu kuwa the University Council hufanya haki kwa wote wanaostahili, wakiongozwa na slogan maarufu, 'you either publish or you perish'

hizo hapo chini ndiyo publications

Publications
Mkumbo, K.A.K (2010). What Tanzanian young people want to know about sexual health; implications for school-based sex and relationships education.pdf Sex Education, 4, 405-412.
Mkumbo, K.A. K. (in press). Students' attitudes towards learning with their peers with disabilities: Implications for inclusive education. Journal of Adult Education in Tanzania.
Mkumbo, K.A.K (2010). Correlates of teachers' attitudes towards and comfort in teaching school-based sex education in urban and rural Tanzania. Papers in Education and Development, 29, 57-76.
Mkumbo, K.A.K. & Ingham, R (2010). What Tanzanian parents want (and don't want) covered in school-based sex and relationships education.pdf Sex Education, 10,67-78
Mkumbo, K.A.K. (2009). Content analysis of the status and place of sexuality education in the national school policy and curriculum in Tanzania.pdf Educational Research and Reviews, 4, 616-625.
Mkumbo, K.A.K., Schaalma, H., Kaaya, S., Loorijer, J., Mbwambo, J., & Kilonzo, G. (2009). The application of Intervention Mapping in developing and implementing school-based sexuality and HIV/AIDS education in a developing country context: The case of Tanzania.pdf Scandinavian Journal of Public Health, 37(Suppl 2), 28-36.
Mkumbo, K.A.K. (2008). Do children with disabilities have equal access to education? A research report on accessibility to education for children with disabilities in Tanzanian schools. Dar es Salaam: HakiElimu.
Omari, I.M & Mkumbo, K.A.K. (2006) Adolescence and school learning. In I.M. Omari (Ed.),Educational psychology for teachers (pp. 173-197). Dar es Salaam, Tanzania: Dar es Salaam University Press.

source: Dr. Kitila Mkumbo
 
Assistant Prof Mkumbo analipi la ziada? Prof. Anna Tibaijuka, Prof. Maghembe, Prof. Kapuya, Prof. Muhongo, Prof. Msolwa, Prof Maji Marefu, Mbarawa wameifanyia nini nchi hii zaidi ya kuinajisi?... Ndani ya CCM na Vibaraka wake hakuna Wasomi walioelimika na kujitambua! Wako watu waliokremishwa theories kibao ... hawajaweza kukabiliana na mazingira yao na kuyatawala bali wanatawaliwa na tama ya fedha na madaraka yenye kuwapa fursa za kuendekeza ukuwadi wa rasilimali zetu ...
WanaJF,

Naamini wote tunamfahamu ndugu Kitila Mkumbo kwa wadhifa wake wa uhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Katika wadhifa wake huo yeye amesimama kwa kiwango cha elimu cha Ph.D na alikuwa akiitwa Dr. Kitila Mkumbo kwa kipindi kirefu kwa sasa.

Ila kwa sasa ndugu Kitila Mkumbo ameukwaa u-professor rasmi na kuanzia leo atakuwa akijulikana kama Prof. Kitila Mkumbo!

Taarifa hii ni dhahiri itawatia hasira sana watu wa CHADEMA huku wakiongozwa na babu Slaa bila kumsahau Mbowe!

Jamani, wote kwa pamoja tutumie fursa hii kumpongeza ndugu Kitila Mkumbo kwa kuukwaa u-professor!
 
Wewe naye umekosa LA kusema,wakasirikie nini kama hiyo ni haki yake ?tena haina athari kwa chadema,kuwa prof si tatizo,hata Mimi naweza kuwa prof wakati wowote,halafu wamempa baada ya kutimuliwa chadema,angelikuwa bado yuko chadema asingepewa.
 
Binafsi namkubali sana KITILA Mkumbo.....anachonishangaza ni kumuacha Zitto amuongoze
kati ya kitila na Zitto naamini Zitto anamuhitaji Kitila zaidi
Zitto ni leader,Kitila ni thinker au the brain behind....

wakijitahidi kuondoa uhasama na CHADEMA waiendeleze ACT in good faith...sitashangaa wakifika mbali
 
WanaJF,

Naamini wote tunamfahamu ndugu Kitila Mkumbo kwa wadhifa wake wa uhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Katika wadhifa wake huo yeye amesimama kwa kiwango cha elimu cha Ph.D na alikuwa akiitwa Dr. Kitila Mkumbo kwa kipindi kirefu kwa sasa.

Ila kwa sasa ndugu Kitila Mkumbo ameukwaa u-professor rasmi na kuanzia leo atakuwa akijulikana kama Prof. Kitila Mkumbo!

Taarifa hii ni dhahiri itawatia hasira sana watu wa CHADEMA huku wakiongozwa na babu Slaa bila kumsahau Mbowe!

Jamani, wote kwa pamoja tutumie fursa hii kumpongeza ndugu Kitila Mkumbo kwa kuukwaa u-professor!
Nampa hongera zake, kwani anastahili!
Sasa ule u-Dr, amwachie Mbowe, anauhitaji sana!!
 
Ongera prof kitira mkumbo tumia hiyo nafasi yako kwa ujenzi wa taifa letu taifa kwanza mengine badae
 
Back
Top Bottom