Duh!...Sio uvivu ni msongo wa mawazo kuua watu ni kazi ngumu sana hebu fikiria kina Saanane, gwanda na kadhalika huwezi lala wanakujia usiku wanasema nirudishe kwetu familia yangu ijue niko wapi he is living hell right here my friend
Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia.
Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19) kabla ya uteuzi wake wa kushtua kuwa balozi wa Tanzania nchini Namibia.
Uteuzi wake ulimfanya kuwa balozi wa kwanza wa Tanzania Namibia na kuwa mtu muhimu katika utengenezaji wa ubalozi huo jijini Windhoek.
Mwaka 2022 mwanasiasa Tundu Lissu alimtuhumu Kipilimba kuongoza kikosi kazi kilichompiga risasi mjini Dodoma, Lissu alisema wameua zaidi ya watu 400 maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji.
Pia, soma
=>Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)
=>Rais Magufuli amteua Diwani Athuman Msuya Mkurugenzi Mkuu (TISS), achukua nafasi ya Dr. Modestus Kipilimba
=>Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba
TANGAZO
NAUNGA VIFURUSHI VYA HALOTEL
Sifa uwe na namba ya HALOTEL tu
NJOO INBOX CHAP,
BEI ELEKEZI:1000 TU
MALIPO BAADA YA KAZI!
KARIBUNI SANA 🙏🏽 call 0621082183
sio wote ila mostly. Nina mifano hai sitaweka hapa kwa maslahi yangu binafsiMbona Mahiga hakuwawhivyo baba wawatu mungu amuweke pema alikuwa mstaarabu sana
Mimi binafsi nilikutana na Diwani alikuwa mwema na mwenye maadili kwa kweli alinitendea haki wakati wanataka kunibambikizia kesi ya madawa ya kulevya hiyo sitasshausio wote ila mostly. Nina mifano hai sitaweka hapa kwa maslahi yangu binafsi
alaaniwe mileleMkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia.
Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19) kabla ya uteuzi wake wa kushtua kuwa balozi wa Tanzania nchini Namibia.
Uteuzi wake ulimfanya kuwa balozi wa kwanza wa Tanzania Namibia na kuwa mtu muhimu katika utengenezaji wa ubalozi huo jijini Windhoek.
Mwaka 2022 mwanasiasa Tundu Lissu alimtuhumu Kipilimba kuongoza kikosi kazi kilichompiga risasi mjini Dodoma, Lissu alisema wameua zaidi ya watu 400 maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji.
Pia, soma
=>Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)
=>Rais Magufuli amteua Diwani Athuman Msuya Mkurugenzi Mkuu (TISS), achukua nafasi ya Dr. Modestus Kipilimba
=>Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba
Labda ni kwa sababu ya kutokuwa na maisha ya kuchanganyika na watu sana.Kazi za usalama wastaafu wao huwa wanakuwa na hali fulani ya upweke na kujutia uzeeni . Sijui kwanini.
diwani hata posture yake tu anaonekana hana makuu.Mimi binafsi nilikutana na Diwani alikuwa mwema na mwenye maadili kwa kweli alinitendea haki wakati wanataka kunibambikizia kesi ya madawa ya kulevya hiyo sitasshau
unsung hero.Kumbe tz kuna majasus nguli
Ova
Dr Hassy Kitine wakati wa Vita ya Kagera ndio alikuwa DG, alilisaidia sana Jeshi letuBinafsi naona wakurugenzi wa usalama wa taifa walio acha alama na jina nzuri ni balozi Agustino Mahiga, Kanal Apson mwangonda, mchungaji Modestus kapilimba, Diwani athumani.
Hamna huu ujasiri hapa bongo land....wanao wanawake wa Iran huko ila sio hapa bongo.Akirudi uraiani alindwe na jeshi otherwise kuna watu wataruka nae
Mkurugenzi wa zamani Afande Imran Kombe Yeye alijaribu kuwa Mwema akapigwa Risasi 14 kifuani kwa 'bahati mbaya' akafarikiMimi binafsi nilikutana na Diwani alikuwa mwema na mwenye maadili kwa kweli alinitendea haki wakati wanataka kunibambikizia kesi ya madawa ya kulevya hiyo sitasshau
Mungu amuweke pema shujaa wetuMkurugenzi wa zamani Afande Imran Kombe Yeye alijaribu kuwa Mwema akapigwa Risasi 14 kifuani kwa 'bahati mbaya' akafariki
Kibiti kuna nini?Inahusiana chochote na tetesi (JF wamesema uzushi) za kinachoendelea Kibiti?
Anarudi kuongeza Nguvu?
Tunamkaribisha NDANI YA CCMMkurugenzi wa zamani wa taasisi ya usalama wa Taifa, Dr. Modestus Kipilimba amestaafu utumishi wa umma baada ya uwepo wake Namibia kama balozi kuhitimishwa rasmi na Rais Samia.
Kipilimba alihudumu kama mkurugenzi wa usalama wa Taifa kwa miaka mitatu chini ya utawala wa Rais Magufuli(2016-19) kabla ya uteuzi wake wa kushtua kuwa balozi wa Tanzania nchini Namibia.
Uteuzi wake ulimfanya kuwa balozi wa kwanza wa Tanzania Namibia na kuwa mtu muhimu katika utengenezaji wa ubalozi huo jijini Windhoek.
Mwaka 2022 mwanasiasa Tundu Lissu alimtuhumu Kipilimba kuongoza kikosi kazi kilichompiga risasi mjini Dodoma, Lissu alisema wameua zaidi ya watu 400 maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji.
Pia, soma
=>Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)
=>Rais Magufuli amteua Diwani Athuman Msuya Mkurugenzi Mkuu (TISS), achukua nafasi ya Dr. Modestus Kipilimba
=>Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba
Ndio muda kifurushi kinakata na king'amuzi kinabaki na channel halisi pekee.Kazi za usalama wastaafu wao huwa wanakuwa na hali fulani ya upweke na kujutia uzeeni . Sijui kwanini.
Nami nadhani hivyo na labda kuwa na vitu vingi wanajua vya siri ambazo pengine zinawatesa ndani kwa ndani.Labda ni kwa sababu ya kutokuwa na maisha ya kuchanganyika na watu sana.
Ahahahahaha! Akiwa Namibia!Wewe ndio huna kumbukumbu. Kipilimba alitoa kauli akiwa Namibia. Kipindi issue ya Magufuli kutokuoneka imekuwa hot, Kipilimba aliitisha press conference akiwa Namibia na kusisitiza Rais ni mzima.
Ahahahahaha!!!Hufuatilii mambo