Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

majibu:
jambo moja umesahau ni haki yako kukataa kuhojiwa na chombo ambacho huna Imani nacho, inawezekanaje TAKUKURU ambayo kamati ya Mwakyembe imewanyoshea kidole kuja kumuhoji na kumtendea haki Harrison Mwakyembe(mb),
alichofanya ni sahihi, na ndio maana amemwambia Hosea akiwa tayari wakakutane mahakamani.

kumbuka Mengi aliwahi kumgomea Waziri Masha kua hawezi kutoa maelezo yake polisi akiweza atangulie mahakamani, ni haki yako Mtanzania mwenzangu kukataa kuhojiwa na vyombo unavyohisi havitakutendea haki.

Hakuna haki ya kukataa wito, that right doesn't exist at all! Mtuhumiwa ana haki ya kutotoa maelezo lakini sio kukataa wito! Kifungu cha 10 (2A) cha CPA, 1985 kinasema kwamba ni kosa la jinai kukataa wito wa chombo cha dola. Mengi alipewa na Masha siku saba za kutoa maelezo na sio kumpa WITO wa kufika ofisini, tusichanganye vitu viwili hapa (WITO vs KUHOJIWA)! Hebu jiulize mwenyewe, kama huna imani na mahakama kwa kuwa inaongozwa na Jaji Mkuu ambaye ni corrupt hutaenda ukipewa summons kwa kuwa huna imani na chombo hicho? Where then is the checks and balances that is supposed to exist in a democratic country? Kamati ya Mwakyembe nao si waliwahoji watu wakati wa kufuatilia suala la Richmond? Mbona hawakuambiwa kwa kuwa wao (akina Mwakyembe) wanapokea posho mara mbili kwa kazi moja (ambao ni wizi) hawana uwezo wa kuwahoji akina Msabaha na Karamagi ambao walikuwa ni mawaziri? Why can't you simply be reasonable?
 
iwapo Dkt Mwakyembe amegoma kuhojiwa..........na kugoma kwake kuhojiwa ni kinyume na sheria........na kama posho alizochukua ni kinyume na sheria........na iwapo TAKUKURU wana ushahidi wa kujenga kesi dhidi ya hayo hapo juu.............sijui ni kwa nini hawamfikishi huyu Dkt Mwakyembe mahakamni............?

....na asipofikishwa mahakamni serikali/Ikulu kwa mara nyingine itatufanya tuamini kuwa ni kiini macho.................
 
Kuhojiwa ni kitu kimoja na kukutwa na kosa baada ya kuhojiwa ni kitu kingine! Kumbuka hata kama TAKUKURU itaona kuwa Mwakyembe ana kosa bado jalada linatakiwa liende kwa DPP ambaye anaweza kuweka 'nolle prosequi' (kufuta shtaka) kulingana na kifungu cha 91 cha CPA, 1985! Kwa hali inavyojionyesha itaonekana kama kulikuwa na mchezo wa kuigiza but not necessarily true! Mpaka sasa kesi za akina Mramba, Liyumba, et al, zimeshaanza kusemwa kuwa ni mchezo wa kuigiza hata kabla ya kuisha! Sio kila kesi lazima kuwe na conviction, kwenye Sheria kuna technicalities nyingi mno na mtu anaweza kushinda kesi kwa hizo! Anyway, lets wait patiently and see the end of this 'game!'
 
Kuhojiwa ni kitu kimoja na kukutwa na kosa baada ya kuhojiwa ni kitu kingine! Kumbuka hata kama TAKUKURU itaona kuwa Mwakyembe ana kosa bado jalada linatakiwa liende kwa DPP ambaye anaweza kuweka 'nolle prosequi' (kufuta shtaka) kulingana na kifungu cha 91 cha CPA, 1985! Kwa hali inavyojionyesha itaonekana kama kulikuwa na mchezo wa kuigiza but not necessarily true! Mpaka sasa kesi za akina Mramba, Liyumba, et al, zimeshaanza kusemwa kuwa ni mchezo wa kuigiza hata kabla ya kuisha! Sio kila kesi lazima kuwe na conviction, kwenye Sheria kuna technicalities nyingi mno na mtu anaweza kushinda kesi kwa hizo! Otherwise tunaweza kusema SHERIA ZENYEWE, KUZITAFSIRI NI KAMA MCHEZO WA KUIGIZA!

.........maana yangu.....watu waache blah blah blah kwenye serious issues.......tunahitaji kuona action kulingana na sheria, ....matokeo ya utafsiri wa sheria ni kitu kingine...........

....unajua mpaka Dkt mwakyembe anasema nitawabwaga TAKUKURU mahakamani.....hii jeuri anaitoa wapi..........ina maana either anajua udhaifu wa madai au anajua udhaifu wa TAKUKURU kujenga kesi yenyewe?.....ndio maana nimesema hapo awali.........Sheria ichukue mkondo wake ili tuone............otherwise hiyo procedure uliyoitaja hapo juu naifahamu vizuri sana...........thanks anyway
 
Kifupi sheria haina maana kama haiwezi kutafsirika kwa vitendo. Kifupi mimi sielewi kjabisa mchezo huu umeanza vipi.. Mtu yuko Bungeni Dodoma, anapigiwa simu afike ofisi za Takukuru (sijui Dar au Dodoma) kuhojiwa, anakataa kwenda na kuendelea na kazi za Bunge..
Waliohojiwa kina Shelukindo wanasema walifanyiwa vitisho vikubwa na Hosea (Takukuru) ndipo Spika Sitta alipoingilia kati. Tukumbuke tu kwamba Shelukindo ndiye aliyewakilisha hoja ya Richmond bungeni na Mwakyembe na kamati yake kuifanyia uchunguzi..
Na mwisho unganisha maneno ya Hosea alipohojiwa na Mbunge mmoja kuhusu jengo la PCCB.. alisema kwamba kama PCCB wakiamua kufuatilia posho za Wabunge HAKUNA ATAKAYE BAKI... Mhhhhh! why unawafuata baadhi yao kama wabunge wote wameoza?..
 
Kwa kweli hili swala la mbunge kukataa kuhojiwa kwa makosa anayoshukiwa kutenda lilikua linanitatiza sana! nilikua najiuliza kama ni kweli mtu mmoja (an individual) anaweza kuwa juu ya dola, nilikua sipati jibu. lakini,

Baada ya kufuatilia maoni na mawazo ya watu mbali mbali na hasa ufafanuzi wa spika Sitta juu ya jambo hili kupitia gazeti la Majira la tarehe 31 oktoba, nimegundua wengi hatujui sheria na taratibu vizuri na wengine tunajaribu kupindisha ukweli kama nawe Buchanan unavyotaka kufanya!!!

swala la umeme wa upepo alilitolea maelezo na yakaeleweka ndio maana kamati ya maadili ya bunge haikuchukua hatua kwa kuto - declare interest!!

Cha muhimu hapa tujiulize, na hasa tuiulize serikali inakuwaje inasiiiiita kuchukua hatua na kumaliza mambo ya Rich Mond badala yake wanatoa (ikulu) maagizo ya kuchunguza posho za wabunge???

RAIS AFANYE UAMUZI AMBAO WANANCHI NA BUNGE VITAONA AMEACHA USHIKAJI NA KUTENDA HAKI KWA KUMALIZA RICH MOND KWANZA NDIO SASA WASHUGHULIKIE TATIZO HILO SUGU LA POSHO IITWAYO HOSPITALITY

".....wakati wa bajeti ya serikali ya mwaka 2009/2010 mbunge mmoja aliitaka serikali kufuta fungu hilo (hospitality) kwa madai kuwa ilikua na sh. billioni 19 alizoita ni za kunywa chai lakini bunge ilipitisha..."
 
.........maana yangu.....watu waache blah blah blah kwenye serious issues.......tunahitaji kuona action kulingana na sheria, ....matokeo ya utafsiri wa sheria ni kitu kingine...........

....unajua mpaka Dkt mwakyembe anasema nitawabwaga TAKUKURU mahakamani.....hii jeuri anaitoa wapi..........ina maana either anajua udhaifu wa madai au anajua udhaifu wa TAKUKURU kujenga kesi yenyewe?.....ndio maana nimesema hapo awali.........Sheria ichukue mkondo wake ili tuone............otherwise hiyo procedure uliyoitaja hapo juu naifahamu vizuri sana...........thanks anyway

Jeuri ya Mwakyembe haijaanza leo, the man is simply arrogant! Unakumbuka alivyoliparamia Jeshi la Polisi mara baada ya ajali yake ambayo mwanzoni alisema ni ya kawaida lakini baadaye, sijui ni kwa ajili ya kutafuta cheap popularity au la, akadai kuna mkono wa mtu! Kwa jinsi alivyotoa maelezo kwenye vyombo vya habari ni kuwa hakuwa na imani ni Jeshi la Polisi. Sasa sijui atakuwa na imani na chombo kipi cha dola? Juzi juzi nako akadai kwamba wanaotaka kumng'oa Jimboni kwake Kyela wakaweke kambi na wake zao Jimboni na wasuke mikakati kwa miaka mitano ndipo watakapong'oa! Kaazi kweli kweli!
 
Kwa kweli hili swala la mbunge kukataa kuhojiwa kwa makosa anayoshukiwa kutenda lilikua linanitatiza sana! nilikua najiuliza kama ni kweli mtu mmoja (an individual) anaweza kuwa juu ya dola, nilikua sipati jibu. lakini,

Baada ya kufuatilia maoni na mawazo ya watu mbali mbali na hasa ufafanuzi wa spika Sitta juu ya jambo hili kupitia gazeti la Majira la tarehe 31 oktoba, nimegundua wengi hatujui sheria na taratibu vizuri na wengine tunajaribu kupindisha ukweli kama nawe Buchanan unavyotaka kufanya!!!

swala la umeme wa upepo alilitolea maelezo na yakaeleweka ndio maana kamati ya maadili ya bunge haikuchukua hatua kwa kuto - declare interest!!

Cha muhimu hapa tujiulize, na hasa tuiulize serikali inakuwaje inasiiiiita kuchukua hatua na kumaliza mambo ya Rich Mond badala yake wanatoa (ikulu) maagizo ya kuchunguza posho za wabunge???

RAIS AFANYE UAMUZI AMBAO WANANCHI NA BUNGE VITAONA AMEACHA USHIKAJI NA KUTENDA HAKI KWA KUMALIZA RICH MOND KWANZA NDIO SASA WASHUGHULIKIE TATIZO HILO SUGU LA POSHO IITWAYO HOSPITALITY

".....wakati wa bajeti ya serikali ya mwaka 2009/2010 mbunge mmoja aliitaka serikali kufuta fungu hilo (hospitality) kwa madai kuwa ilikua na sh. billioni 19 alizoita ni za kunywa chai lakini bunge ilipitisha..."

Acha kuwa blind unnecessarily ndugu yangu, sijui kama umejiuliza mambo ambayo Mwakyembe na timu yake yanayohusu Richmond waliyaacha kwa ruhusa na manufaa ya nani? Sasa Mwakyembe ana tofauti gani kuhusu kusoma taarifa ya Richmond feki na Dkt Hoseah ambaye anasemekana kutoa taarifa ambayo ilisema hakukuwa na tatizo kwenye mkataba wa Richmond? Unapomnyooshea mwenzako kidole kimoja angalia vidole vingapi vinakuelekea wewe! Dkt Hoseah kwa kutumia Sheria ya mwaka 1971 hakuweza kubaini rushwa kwenye mkataba wa Richmond, sasa kama kamati ya Mwakyembe iligundua rushwa si ingepeleka kesi mahakamani?
 
Interesting how u trying to protect hosea with reference to the 1971 act...enhe endelea kutudanganya kama hatujui resources and powers of takukuru if used properly ........kweli mwakyembe akae chonjo kwa mwendo huu hivi iyo kamati alikuwa pekeyake na aliiunda mwenyewe??...naona mambo si mchezo...the more you guys bring up these silly arguements mara alichukua 400mil ,mara hana influence or power in kyela, mara conflict of interest, mnamwongezea umaaarufu tuu.....richmond created mwakyembe, he is a victim of circumstance..deal with richmond na umaarufu wa mwakyembe utaisha..zaida ya ile kamati nothing else separates him from other ccm wabunge..no way 1 man can shake such a big group of individuals..its a shame...all this while the country is in darkness..let me guess lets blame mwakyembe for our power issues in the country??

Kapinga,
Naona unahaha kila makala kumtetea Mwakyembe.

Tofauti yetu wengine na wewe ni kwamba:
Mwakyembe na HOSEA wote ni sawa tu na labda wanapishana tu degree ya uovu wao. Wote walificha UKWELI. HOSEA alificha ukweli wote na akatudanganya na Mwakyembe na yeye alificha baadhi ya mambo ili kuinusuru Serikali. Kwa vyovyote vile alificha amri zilizotoka juu ya PM. Na Kama sasa TAKURURU wamepewa amri ya kusaka posho mbilimbili, si Mwakyembe na yeye ana KARATA yake ya MWISHO? Wiki lijalo kama hawataicheza vizuri, basi unaweza kuwa mwisho wao.

Ukitaka kufahamu juu yangu mie, basi mie ni kuwa "vita vyao ni furaha yetu..." Wote ni wachafu na wamalizane tu. Wakiisha labda watakuja wengine wenye upendo na nchi ya Tanzania.
 
Interesting how u trying to protect hosea with reference to the 1971 act...enhe endelea kutudanganya kama hatujui resources and powers of takukuru if used properly ........kweli mwakyembe akae chonjo kwa mwendo huu hivi iyo kamati alikuwa pekeyake na aliiunda mwenyewe??...naona mambo si mchezo...the more you guys bring up these silly arguements mara alichukua 400mil ,mara hana influence or power in kyela, mara conflict of interest, mnamwongezea umaaarufu tuu.....richmond created mwakyembe, he is a victim of circumstance..deal with richmond na umaarufu wa mwakyembe utaisha..zaida ya ile kamati nothing else separates him from other ccm wabunge..no way 1 man can shake such a big group of individuals..its a shame...all this while the country is in darkness..let me guess lets blame mwakyembe for our power issues in the country??

Ok, a simple question: mambo ambayo akina Dkt Mwakyembe na Kamati yao teule ya Bunge waliyaacha kuyasema kwenye ripoti ya Richmond ni yapi na kwa manufaa ya nani?
 
Anayelalamika kuhusu ripoti ya Hoseah kwamba ilikuwa ya uwongo na yeye kwenye ripoti yake kaficha vielelezo! Tukaze buti tutafika tu watz!
 
Katika maojiano yake na vyombo vya habari, Mwakiyembe amesema, TAKUKURU anawapigia simu wabunge (Mmoja mmoja) na kuwaoji kwa takriban masaa hadi matatu kinyume na sheria kwani maojiano hayo hayawekwi kwenye maandishi.

Muda wa kuhoji kisheria ni masaa manne [Kif. 50 (a) (i) cha CPA] na unaweza kuongezwa! Sasa kwa nini Dkt Mwakyembe ameamua kuudanganya umma kuhusu masaa ya kuhojiwa huku yeye mwenyewe akivunja Sheria kwa kukataa kuhojiwa?
 
Buchanan,
Kukataa kuhojiwa si kuvunja sheria. Wangemtumia summons na si kumpigia simu.
 
Buchanan,

Mkuu wangu ebu rudia kusoma tena maelezo ya Mwakyembe hapo juu ama niweke upya mada hii kisha nambie kuna makosa gani ktk majibu ya Mwakyembe.
Maelezo yenyewe ni haya:-

Mbunge wa kyela Dr. Arison Mwakyembe amekataa kuhojiwa na TAKUKURU kama baadhi ya wabuge wengine walivyo ojiwa na taasisi hiyo kwa madai kuwa hizo ni mbinu za kutaka kuwaziba midomo wabunge. Katika maojiano yake na vyombo vya habari, Mwakiyembe amesema, TAKUKURU anawapigia simu wabunge (Mmoja mmoja) na kuwaoji kwa takriban masaa hadi matatu kinyume na sheria kwani maojiano hayo hayawekwi kwenye maandishi.
 
"mbwa hubweka sana anapoona chakula cha bwana wake kinaliwa na mtu mwingine.
lakini mbwa huyo huyo anapokula chakula hicho cha bwana wake bila ridhaa ya bwana wake - huwa mkali pale anapokatazwa kuendelea kukila"

Duh huyu mbwa mbwa gani mkuu wangu, sijayaona hayo ndio kwanza nasikia leo!
 
Real Mwakyembe kala hizi pesa, kama yeye ni msafi kwa nini akate kuhojia, asitake huruma za jamii, kama anaweza kupokea posho mara mbili mbili, huyu kweli si mtu hatari sana? kama alichukua hizo peas azirudishe, kupiga kelele hakuwezi kumsaidia.Asitake kuwafanya watanzania kama vile hawna uwezo wa kutafakari na kuliona jema na baya, mbaya zaidi watanzania wa leo hawadanganyiki,Rudisha pesa za walala hoi.
 
Taarifa nilizozipata kutoka nyumbani Tanzania zinaeleza kwamba makamanda wawili maarufu wa vita ya ufisadi, Dk. Harrison Mwakyembe na Fred Mpendazoe, wamehojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Takukuru juzi kuhusiana na suala la posho mbili za wabunge.

naomba kuwasilisha
 
Dk. Harrison Mwakyembe na Fred Mpendazoe, wamehojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Takukuru juzi kuhusiana na suala la posho mbili za wabunge.

Kama ni Juzi nadhani haina staha ya kuitwa breaking news!
 
Kama ni Juzi nadhani haina staha ya kuitwa breaking news!

Hatimaye mpiganaji ameamua kutii Sheria ya Nchi ambayo ameshiriki mwenyewe kuitunga? Halafu siku hizi haongei sana kwa kuwa kitu kilichompatia umaarufu, Richmond, kimewekwa kapuni, kwa hiyo mtaji wa kisiasa ume-expire?
 
Back
Top Bottom