Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Hongera Ngosha,
Hureeeeeeeeee, Hapa kazi tu.
 
Atupe time frame ni lini pale tabora ataanza ujenzi wa viwanda vya sigara, nyama, ngozi na Nguo atupe time frame pia ni lini meli mpya itakuja ziwa victoria, lini ndege mpya ATCL zitawasili, DRS la 7- form wataanza kutolipa ada, atusaidie hayo . Sisi tunataka mambo yetu atueleze mapeeema kabla jto la uchaguzi halijamalizika
 
Maisha baada ya uchaguzi.
Naiyona Tanzania mpya yenye maendeleo. Hakika Mungu akutie nguvu akuondolee tamaa akujaze uchungu wa maisha ya watanzania.

Tumekuamin Mr President Magufuli hebu onyesha kuwa Waliokuchagua hawakukosea.

Mungu awe nawe daima ktk mda wote wa uongozi wako.
 
Tukajipongeze jamani....mimi nimetukanwa sana na kutolewa kwenye magrup yooote ya wasap kisa tu namkubali jpm..asante mungu asante watanzania,,mmetenda haki wala hatuna mda wa kwenda ngome..tuna imani na jpm...asante mugu wetu
 
hata kama ameiba, bado ni raisi wa wote... you cant change that
 


Hongera sana Mh. @Dr john Magufuri , tunakuomba uwe Rais wa wote
hata wale wa vyama pinzani na wasio na vyama. Tanzania ni yetu sote.
Ila nakushauri umkumbuke Lowasa edward kwenye uongozi wako kwani
kwa kura alizopata sina shaka kuwa ana ushawishi mkubwa sana kwa serikali yako.
Nakutakia kazi njema Mh. Rais.


Maelezo zaidi.

[h=2]MATOKEO YA URAIS[/h]
Majimbo 264 / 264 | Matokeo Rasmi | Tume ya Uchaguzi (NEC)
8,882,935 Votes 58.46 %

John Magufuli - CCM




6,072,848 Votes (39.97 %)

Edward Lowassa - CHADEMA







98,763 Votes (0.65%)

Anna Elisha Mghwira - ACT




66,049 Votes (0.43%)

Chief Lutasola Yemba - ADC




49,256 Votes (0.32%)

Hashim Rungwe Spunda - CHAUMA




8,198 Votes (0.05%)

Macmillian Lyimo - TLP




8,028 Votes (0.05%)

Janken Malik Kasambala - NRA




7,785 Votes (0.05%)

Fahmi Dovutwa - UPDP




[h=2]MATOKEO YA UBUNGE - 176/264[/h]



[h=3]KEY[/h] [h=3]CHADEMA (33)[/h]
[h=3]CCM (132)[/h]
[h=3]ACT (1)[/h]
[h=3]CUF (9)[/h]
 
"Nitaunda mahakama ya kushughurikia mafisadi na majizi"~JPM
Naomba uanze na yule mwenye nywele nyeupe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…