HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 549
Shirikisha ubongo wako kidogo tu.
aheri mi nisiye na akili,kulikon ww mwenye nazo lakin umezikalia!!narudia tena kamwe hatutanyamazia upumbav na upuuzi mnaowafnyia wananchi.Chadema mauwaji yote yakutatanisha nyie ndo mnaohusika,na nawahakikishien hamtakaa muingie ikulu kuongoza nchi.mtaishia kwenda kunyw juice tu wauwaji wakubwa nyie.
Do you still have a trust in Kova???? Pole sana kama bado unamuamini mtu huyo. Expect the unexpected as usual!mpaka kula nimeshindwa, kwani lakin MVUNGI pasipo mapenzi ya mungu, ila tumetoka mavumbini natutarudi mavumbini pia but kwaaliyetuma dr afanyiwe hivyo mungu atajibu tu maombi..... Inauma sanaaaaaaaaaaaaaaa, pls kova dont cm with another movie kaa utulie kwan jana nimekuona mpaka unapata kigungumizi kwa uongo, kwan walio mteka sio hao.
Nimemuumba mwanadamu.Nikampatia dunia nzuri na vitu vizuri ndani yake.Nikampa na wanadamu wenzake ili afurahi,apende,iwe kwake faraja.Na miti yote,mimea,bahari na milima viko pale pale,vikifuata amri ya muumba wake.Lakini wewe mwanadamu mwenye akili timamu,umeiacha njia yako na sheria yako.Unafisha yote niliyokupa,hata wanadamu wenzio.Nami nasema wewe mwanadamu,kwa kuwa unaangamiza wale niliokupa,basi nitakunyima vyote,mvua haitanyesha,bahari itavuka mpaka wake,milima itasogea,ardhi itatetemeka,na roho yako itakukimbia,katika siku niifanyayo,siku nitakapotoka,na kuja kuitikisa sana dunia na wote waikaao,naam,siku ya hasira yangu!naam,siku nitakayokomesha vilio hivi vya wanadamu,maana ardhi imejaa vilio,nami nitaisafisha,na kukomesha vilio!
Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Usalama hafifu ni chanzo cha watu kufa kabla ya mda wao. Hiki kifo hata sio mapenzi ya Mungu.
Ulimboka alilipwa hela anyamaze.huyu kwani kuna mkono wa Ccm?