TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

rest in peace dr jana tumepewa taarifa majambazi yamekamatwa ingawa picha ya waliokamatwa hakuna zaidi ya picha za emmanul nchimbi na kova leo umekufa sooo sad newz kwa wanajamii , kuamini, hii ni kazi ya shetani tuwalilie wale wote waliofanya unyama huu na tuwalaani kwa nguvu zote kwa kutekeleza mipango hii ya kidhalimu dhidi ya mtu mwenye ndoto zake na nchi yake.
 
R.I.P Dr. Mvungi you will be missed; may God rest his soul in eternal peace!
 
aheri mi nisiye na akili,kulikon ww mwenye nazo lakin umezikalia!!narudia tena kamwe hatutanyamazia upumbav na upuuzi mnaowafnyia wananchi.Chadema mauwaji yote yakutatanisha nyie ndo mnaohusika,na nawahakikishien hamtakaa muingie ikulu kuongoza nchi.mtaishia kwenda kunyw juice tu wauwaji wakubwa nyie.

Kabla ya kukulaumu natamani kwanza kujua mama yako na baba yako then nilinganishe muunganiko gani wa begu za kijinga zinazoweza kutoa kiumbe asiye kuwa na chembe hata moja ya akili? Pole sana kwa bahati mbaya.
 
haya mambo tulikuwa tukiyashuhudia nchi za jirani..ikiwemo na kwa manyang`au ila sasa yamehamia kwetu..!
 
EebMungu mpe rehema. Tunaiombea Tanzania and her people healing and blessing
 
mpaka kula nimeshindwa, kwani lakin MVUNGI pasipo mapenzi ya mungu, ila tumetoka mavumbini natutarudi mavumbini pia but kwaaliyetuma dr afanyiwe hivyo mungu atajibu tu maombi..... Inauma sanaaaaaaaaaaaaaaa, pls kova dont cm with another movie kaa utulie kwan jana nimekuona mpaka unapata kigungumizi kwa uongo, kwan walio mteka sio hao.
Do you still have a trust in Kova???? Pole sana kama bado unamuamini mtu huyo. Expect the unexpected as usual!
 
Nimemuumba mwanadamu.Nikampatia dunia nzuri na vitu vizuri ndani yake.Nikampa na wanadamu wenzake ili afurahi,apende,iwe kwake faraja.Na miti yote,mimea,bahari na milima viko pale pale,vikifuata amri ya muumba wake.Lakini wewe mwanadamu mwenye akili timamu,umeiacha njia yako na sheria yako.Unafisha yote niliyokupa,hata wanadamu wenzio.Nami nasema wewe mwanadamu,kwa kuwa unaangamiza wale niliokupa,basi nitakunyima vyote,mvua haitanyesha,bahari itavuka mpaka wake,milima itasogea,ardhi itatetemeka,na roho yako itakukimbia,katika siku niifanyayo,siku nitakapotoka,na kuja kuitikisa sana dunia na wote waikaao,naam,siku ya hasira yangu!naam,siku nitakayokomesha vilio hivi vya wanadamu,maana ardhi imejaa vilio,nami nitaisafisha,na kukomesha vilio!

Naona una ujasiri mkubwa wa kujiita kerubi afunikaye. Kabla Lusifa hajawa shetani naye alikuwa kerubi afunikaye
Mmh! Haya bhana.
 
Nilivyoona jana, Waziri wa mambo ya ndani, na naibu wake, na kamanda wa polis Dar es salaam.. Nilihisi jambo baya sana juu ya tukio hili... KWELI SERIKALI HII!! huwezi amini lakini.. Watu wa Mungu wanajua..
 
damu y DR inamlilia Mungu kuwa kama si fulani ningekufanyia mengi mema mola, hivyo hawatabaki salama, watakufa vifo vya aibu mmoja baada ya mwingine hadi wafikiri wamelogwa kumbe ni kivuli cha dr kinaishi
 
R.I.P. Dr Mvungi. Na pole zetu ziwaendee wanafamilia na wapenzi wote wa mabadiliko.
Jicho la tatu: isijeikawa ni "wahamiaji haramu" wa JK ndio wanafanya ujambazi huu.
 
Pumzika Mwanasheria Dr. Sengondo Mvungi, tumeambiwa waliyofanya haya wameshikwa na Polisi, nini kiliwasukuma hatujui labda tutaelezwa na Kova, Haki Itatendeka, kama siyo hapa basi kwa Mungu. RIP Dr. Mvungi
 
Back
Top Bottom