Elections 2010 Dr. Shein aibuka kidedea; kuiwakilisha CCM urais Zanzibar 2010

Elections 2010 Dr. Shein aibuka kidedea; kuiwakilisha CCM urais Zanzibar 2010

NI DR MOHAMMED SHEIN, amechaguliwa kuwa mgombea Urais Zanzibar. Amepata kura 117, Bilal 54, Nahodha 33
mjengwa source
 
Huu Upemba na Uunguja watu wa JF nao tunauendeleza. We dont need kuupa nafasi. Nchi Ikiharibika sisi nao tutakuwa responsible. So far Nchi yajengwa na sote.
 
Bila shaka kwa matokeo ya shein, kama atapitishwa hakuna sababu Maalim asiwe rais wa Zanzibar...kwa maana najuwa Maskani ya mwanzo itakayoguzwa majungu ya kumharibia Sheni na kuiunga mkono CUF ni Mwembe Kisonge...makachero yale yatauwa mtu mara hii mgombea wao akikosa, kazi kubwa anayo sheni, wakati CUF itakuwa little bit pleased CCM msuguano hautakwisha mpaka sheni amalizwe.



Ni hili likitokea litakuwa anguko kubwa kisiasa kwa Dr. Shein na pengine kuwahi kutokea katika siasa za Tanzania
 
NI DR MOHAMMED SHEIN, amechaguliwa kuwa mgombea Urais Zanzibar. Amepata kura 117, Bilal 54, Nahodha 33....mjengwa

Jamaa amenipigia simu sasa hivi. Ila inasemekana Kambi ya Bilal haijakubali na wanasema kuwa watafanya kila hila Shein ashindwe uchaguzi kazi ipo
 
Jamaa amenipigia simu sasa hivi. Ila inasemekana Kambi ya Bilal haijakubali na wanasema kuwa watafanya kila hila Shein ashindwe uchaguzi kazi ipo

na mimi nawaunga mkono wahakikishe Shein anashindwa...
 
BREAKING NEWS!! NI DR SHEIN

NI DR MOHAMMED SHEIN, amechaguliwa kuwa mgombea Urais Zanzibar. Amepata kura 117, Bilal 54, Nahodha 33

Kwa hisani ya mjengwa blog
 
Mimi sina interest na uchaguzi wa chama fisadi. Yeyote atakayechaguliwa sawa tu. Najua anakwenda kupambana na Seif kule kwao Zenji. Watajiju. Wacha wakatoane macho wapemba hao.

Mimi nasubiri Chadema watangaze mgombea wao atakayepambana na Kikwete
 
Kwa nini rais wa Zanzibar anachaguliwa toka Dodoma na sio Baraza la Mapinduzi?
 
jamaa amenipigia simu sasa hivi. Ila inasemekana kambi ya bilal haijakubali na wanasema kuwa watafanya kila hila shein ashindwe uchaguzi kazi ipo

when the dust settles, wote watajikuta wanaimba, wembe ni ule uleeee......."
 
Hiyo ndio CCM bwana... imetoka Shein ndiye Rais kama mlivyokuwa hamkuamini kama Nkapa angekuwa Rais.
 
tunataka kura ya marudio ya wagombea wawili.

Mkuu hata wakirudia sidhani kama kutakuwa na mabadiliko, maana ukijumlisha za Bilal na Shamsi unapata 87, bado ni ndogo kuliko 117 alizopata Shein.

Nadhani huwa wanarudia iwapo gap ni dogo sana, lakini hilo gap ni kubwa sana na hakuna justification ya kurudia. Sasa kibarua ni namna ya kumuuza Shein. Kazi kwao .... mambo ya CCM tunawaachia wenyewe.
 
BREAKING NEWS!! NI DR SHEIN

NI DR MOHAMMED SHEIN, amechaguliwa kuwa mgombea Urais Zanzibar. Amepata kura 117, Bilal 54, Nahodha 33 - kutoka kwa mjengwa blog
 
Kuna jamaa wa Bilal wameamua kuondoka usiku huu wanadai wanaondoka kwenda kuanza smear campaign against Shein anyway nadhani haya ni maneno ya mkosaji. In short sasa nadhani ni wakati muafaka tukaona uadilifu wa huyu mzee kama kweli muadilifu au ni just another puppet of CCM. Nampongeza sana yeye na familia yake.
 
Back
Top Bottom