Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halitakuwa kosa lakini nadhani it will be too much kwa status guo wa Unguja, hawajazoea bado.
Bila shaka kwa matokeo ya shein, kama atapitishwa hakuna sababu Maalim asiwe rais wa Zanzibar...kwa maana najuwa Maskani ya mwanzo itakayoguzwa majungu ya kumharibia Sheni na kuiunga mkono CUF ni Mwembe Kisonge...makachero yale yatauwa mtu mara hii mgombea wao akikosa, kazi kubwa anayo sheni, wakati CUF itakuwa little bit pleased CCM msuguano hautakwisha mpaka sheni amalizwe.
Ni Sheni ameshinda!!!!
NI DR MOHAMMED SHEIN, amechaguliwa kuwa mgombea Urais Zanzibar. Amepata kura 117, Bilal 54, Nahodha 33....mjengwa
NI DR MOHAMMED SHEIN, amechaguliwa kuwa mgombea Urais Zanzibar. Amepata kura 117, Bilal 54, Nahodha 33....mjengwa
Jamaa amenipigia simu sasa hivi. Ila inasemekana Kambi ya Bilal haijakubali na wanasema kuwa watafanya kila hila Shein ashindwe uchaguzi kazi ipo
jamaa amenipigia simu sasa hivi. Ila inasemekana kambi ya bilal haijakubali na wanasema kuwa watafanya kila hila shein ashindwe uchaguzi kazi ipo
tunataka kura ya marudio ya wagombea wawili.