Huyu bwana ndiye mtu ninayeweza kumuelewa kwa sababu kiukweli hakuna dini ila tunadanganywa na tamaduni za watu kwamba ndiyo dini kwa sababu tu ya upumbavu wetu.
Mungu gani anawachagulia watu majina, nguo za kuvaa, lugha ya kuongea wakati yeye ndiye kaleta lugha zote zinazoongelewa duniani.
Mungu gani huyo anayefundisha watu eti uowe mke au wake wangapi au anayefundisha watu namna ya kumuabudu au Mungu gani anayelazimisha watu wamtolee sadaka au zaka hata kama huna.
Wote hawa wanatulazimisha na sheria zao eti ni za Mungu huku hamna uthibitisho wowote kuonyesha kwamba ni maagizo ya Mungu ila wanatulazimisha tu tufuate na tusiulize maswali, ni uongo mtupu.
Umefika wakati wa kila jamii inayojitambua kurejea kwenye misingi yake na hiyo ndio dini ya ukweli.