Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Dr. Umar Johnson aihama Dini ya Kiislamu

Huyu bwana ndiye mtu ninayeweza kumuelewa kwa sababu kiukweli hakuna dini ila tunadanganywa na tamaduni za watu kwamba ndiyo dini kwa sababu tu ya upumbavu wetu.

Mungu gani anawachagulia watu majina, nguo za kuvaa, lugha ya kuongea wakati yeye ndiye kaleta lugha zote zinazoongelewa duniani.

Mungu gani huyo anayefundisha watu eti uowe mke au wake wangapi au anayefundisha watu namna ya kumuabudu au Mungu gani anayelazimisha watu wamtolee sadaka au zaka hata kama huna.

Wote hawa wanatulazimisha na sheria zao eti ni za Mungu huku hamna uthibitisho wowote kuonyesha kwamba ni maagizo ya Mungu ila wanatulazimisha tu tufuate na tusiulize maswali, ni uongo mtupu.

Umefika wakati wa kila jamii inayojitambua kurejea kwenye misingi yake na hiyo ndio dini ya ukweli.
 
Safi sana. Tena huyo amabae anasema uongo ndio kabisa, wakukatwa vichwa vyake vyote viwili.
Hao wanaofanya hivyo ni mashetani. Mungu hahitaji msaada wa binadamu kumwadhibu mwanadamu.

Kazi yetu inaishia kumfunza mwanadamu anatakiwa afanye ni na asifanye nini kwa kadiri ya maagizo ya Mungu. Kisasi na adhabu kwa anayetenda vinginevyo, vipo mikononi mwa BWANA.
 
Lengo ni kuwaunganisha waislam
Mfano mdogo adhan inatolewa kwa kiarabu, muislam yeyote dunian akisikia saut hii anajua mda wa kuswali umefika hata kama yupo nchi ambayo hawazungumzi lugha yake
Hiki ni kitu kizuri ni kama chemical symbols tu mwanakemia yeyote akiona anaelewa.

Lakini mkuu kwanchi yetu kama tanzania kuna changamoto ya lugha. Sjajua nchi zingine, je nawewe umeona changamoto yeyote ya lugha ya kiarabu katika uislamu nchini kwetu? Au changamoto ni mfumo wa ufundishaji dini nchini kwetu?
 
Uislam ndio dini isiyo na kasoro
Tueleze mkanganyiko huu katika quran UTATA KATIKA QURAN Siku moja ni ya muda gani kwa mujibu wa Mwenyezi Mungu? a. Siku 1 ni sawa na miaka 1000 (22:47) b. Siku 1 ni sawa na miaka 50,000 (70:4) 2. Mwenyezi Mungu alichukua muda gani kuumba ardhi? a. Siku 6 (7:45, 10:3, 11:7, 25:59) b. Siku 8 ( 41:9-12 ) 3. Je, mbinguni ni kongwe au dunia ni ya zamani? Ni ipi iliundwa kwanza? a. Dunia iliumbwa kwanza (2:29, 41:9) b. Mbingu iliumbwa kwanza (79:27-30) 4. Wanadamu waliumbwa kutokana na kitu gani? a. Bonge la damu ( 96:1-2 ) b. Maji (21:30) c. Udongo uliochomwa (15:26) d. Vumbi (3:59) e. Hakuna (19:67) f. Dunia ( 11:61 ) g. Tone la maji mazito ( 16:4, 75:37 ) h. Udongo unaonata (37:11)
 
Ukimwangalia yule ni mhuni tu wala hana athari ya uislamu , halafu kwann huwa mnaunasibisha uislamu na uarabu hebu niambieeni ni dini IPI ambaye nabi wake alitoka ulaya, america au afrika ! manabii wote mashuhuri walitoka mashariki ya kati kwa marejeo ya Zaburi, Torati, Injili (agano la kale) na Quran. Algeria ni nchi ya kiarabu ila wakristo ni wengi, vilevile Lebanon
 
Uislamu na ugaidi ni sawa na uji na mgonjwa
Ni ngumu kwa watu wenye dini kuelewa kwamba KILA DINI INA KASORO kwasababu kila mtu anatetea dini yake, anaona haina makosa.

Waislamu wengi sana waliuawa na wakristo kwenye crusades za karne ya 10 na 11.

Eugenics, mtazamo wa kubagua watu wa rangi ulikuzwa sana na wakristo.
 
Lengo ni kuwaunganisha waislam
Mfano mdogo adhan inatolewa kwa kiarabu, muislam yeyote dunian akisikia saut hii anajua mda wa kuswali umefika hata kama yupo nchi ambayo hawazungumzi lugha yake
Kwahiyo ukitumia lugha nyingine ibada inakuwa na mapungufu watu hawataungananishwa na alaa hawezi kusikia mnachomuomba
 
Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.

Dr. Umar Johnson kasema kuanzia sasa yeye sio Muisilamu na amejiunga na Dini ya Mizimu ya Kiafrika African Spiritualism.


View: https://youtu.be/2zxXzGX_i-Y?si=vAOjyCo_bS9uLiRS

Aje akutane na kuhani mkuu mimi wa hiyo dini,namkaribisha sana
 
Ni ngumu kwa watu wenye dini kuelewa kwamba KILA DINI INA KASORO kwasababu kila mtu anatetea dini yake, anaona haina makosa.

Waislamu wengi sana waliuawa na wakristo kwenye crusades za karne ya 10 na 11.

Eugenics, mtazamo wa kubagua watu wa rangi ulikuzwa sana na wakristo.
Usisahau caliphate pia iliuwa wakristu wangapi

Na chanzo cha crusade ni ku oppose caliphate
 
Qur'an 2:256. Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua. 256
Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
 
Back
Top Bottom