Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni Lugha yetu ya KIAFRIKA.
Bado sana wewe, kaa na wazee wanaojitambua na wanaoijua historia watakupa ukweli, hizo hadithi za shule ya msingi msiwe mnatuletea humu, mara sijui babu zetu waliteswa mara sijui nini! Mnachekesha sanaKiswahili ni Kibantu na kimeazima baadhi ya maneno kutoka kwenye lugha nyingine.
Nimekuuliza ikiwa uislamu unaenda sambamba na Mila na desturi za kiarabu, ni kwanini waarabu walimpiga vita mtume Muhammad صلى الله عليه وآله وسلم hadi kufanya mipango ya kumuua.?!Hizi nyingine ni sarakasi lakini ukweli ni kwamba Uislamu unaenda Bega kwa Bega na Arabization.
Wewe ni Mwarabu au Mwafrika tuanzie hapo?!
Sasa wewe kweli unalinganisha kahawa na BANGI?!😆😆😆😆😅😅Na UISILAMU NI DINI YA WANYWA KAHAWA vipi hapo?!
Ulitaka tuadhini kwa KIMAKONDE?!Kuazini KIARABU Quruani KIARABU kuswali unasoma KIARABU nk.
Kwanini niseme KIARABU wakati MUNGU ni wa WOTE?!
Mbona shuleni tunajifunza kwa kiingereza wakati Kodi tunalipa makabila yote?!Kuazini KIARABU Quruani KIARABU kuswali unasoma KIARABU nk.
Kwanini niseme KIARABU wakati MUNGU ni wa WOTE?!
Bro; unafahamu hayo mavazi yameanza kuvaliwa mashariki ya kati kabla hata Quran haijulikani ndio kitu gani duniani? Hayo ni mavazi ya mashariki ya kati; Waarabu na Wayahudi wamekua wakivaa hivo kabla ya Ukristo na UislamUjuaji wa kijinga,ingekua ndiyo mavazi yao Quran isingeamuru wavae,suruali fupi ni itikadi za sheikh wahabi za kuhuisha sunna, sheikh wahabi alikua mtawala wa saudia ikiitwa hijaz kabla ukoo wa al saudi hawajapewa nchi na mwingereza na kubadili jina la nchi kuwa saudia, pakistan na afghanistan ni wahabi,hijab za kufunika nyuso ni uzushi wa kiwahabi kinyume na maelekezo ya hijabu ndani ya Quran
Lugha ya kiarabu ni Lugha ambayo inawaunganisha waislamu Dunia mzima. Mimi 90% ya elimu yangu ya dini nimesomea hapahapa TZ lakini naweza kwenda China , Japani, Australia , India , Naijeria na nchi yoyote duniani na nikaongoza ibada bila shida yoyote.Kuazini KIARABU Quruani KIARABU kuswali unasoma KIARABU nk.
Kwanini niseme KIARABU wakati MUNGU ni wa WOTE?!
Maadamu malengo ya kusali ni kumuabudu MUNGU NGAI sisi Waafrika tutumie Lugha zetu.Lugha ya kiarabu ni Lugha ambayo inawaunganisha waislamu Dunia mzima. Mimi 90% ya elimu yangu ya dini nimesomea hapahapa TZ lakini naweza kwenda China , Japani, Australia , India , Naijeria na nchi yoyote duniani na nikaongoza ibada bila
Hoja yenu ya kupinga ibada za kiislamu kuendeshwa kwa kiarabu Haina maana hata kidogo.Kuazini KIARABU Quruani KIARABU kuswali unasoma KIARABU nk.
Kwanini niseme KIARABU wakati MUNGU ni wa WOTE?!