Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

🚨CAF

Zalan of South Sudan Vs Yanga sc of Tanzania.

Mshindi atacheza na St George ama Al Ahli Tripoli ya Libya.

Yanga sc mabingwa wa nchi wataanzia ugenini.

#TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC
Mwaka wetu huu! Tukichanga karata zetu vizuri, tunafika nusu fainali.
 
Simba hii iliyopigwa 3 - 0 na Makirikiri?? [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubingwa? be serious kidogo
 
Wasiwasi wangu sio raundi hii bali hao wanaofuata

St george, al ahly tripol

Hao walibya wamezoea sana makundi na robo fainali


Red arrows sio tatizo sana tatizo ni hawa de agosto, nao ni wazoefu wa makundi

Hata hivyo, kuupata ukubwa lazima ushindane na umshinde mkubwa, timu zetu sasa tuziandae kikamilifu
 
Siyo Al Ahly tena wamebadilisha ni Al Hilal ya sudan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…