Now or Never
Member
- May 20, 2022
- 45
- 110
Mechi zinaanza lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka wetu huu! Tukichanga karata zetu vizuri, tunafika nusu fainali.🚨CAF
Zalan of South Sudan Vs Yanga sc of Tanzania.
Mshindi atacheza na St George ama Al Ahli Tripoli ya Libya.
Yanga sc mabingwa wa nchi wataanzia ugenini.
#TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC
Ukijibiwa ntagMechi zinaanza lini?
Kila laheri mnyamaBig bullets vs Simba
Red Arrows vs Premirio de Agosto
Washindi hapo wanakutana.
Tuliza wowowo sasaYanga hatoki kwa hao zalan. Nawajua vizuri sana. Vipers walichezea mwaka jana na hao
Simba hii iliyopigwa 3 - 0 na Makirikiri?? [emoji16][emoji16][emoji16]Kwa uzoefu wa Simba wa miaka minne mfululizo kwenye klabu bingwa Afrika, hakuna timu inatamani kukutana na Simba, na Simba haigopi kukutana na timu yoyote ile.
Kwanini?
Simba ilishadhamiria kuchukua ubingwa wa Afrika (kwa kuwa ina uwezo huo), hivyo iko tayari kukabiliana na timu yoyote.
Ubingwa? be serious kidogoKwa uzoefu wa Simba wa miaka minne mfululizo kwenye klabu bingwa Afrika, hakuna timu inatamani kukutana na Simba, na Simba haigopi kukutana na timu yoyote ile.
Kwanini?
Simba ilishadhamiria kuchukua ubingwa wa Afrika (kwa kuwa ina uwezo huo), hivyo iko tayari kukabiliana na timu yoyote.
Komaa na timu yakoAisee Uto wamepanda mtumbwi wa vibwengo....yan Al Hilal leo wameshusha striker la Bilioni 2 ahahahah kocha Ibenge
Mkuu hata sisi tumekutana miamba, ila nakumbuka ni kama tushawahi kucheza na Big Bullets na Red Arrow , hao waangola ndo hofu kubwaAisee Uto wamepanda mtumbwi wa vibwengo....yan Al Hilal leo wameshusha striker la Bilioni 2 ahahahah kocha Ibenge
Siyo Al Ahly tena wamebadilisha ni Al Hilal ya sudanWasiwasi wangu sio raundi hii bali hao wanaofuata
St george, al ahly tripol
Hao walibya wamezoea sana makundi na robo fainali
Red arrows sio tatizo sana tatizo ni hawa de agosto, nao ni wazoefu wa makundi
Hata hivyo, kuupata ukubwa lazima ushindane na umshinde mkubwa, timu zetu sasa tuziandae kikamilifu
Dah!...wakimaliza kibarua wanakutana na shughuli.Ooh wamebadili Yanga wakimtoa Zalan wanakutana na mshindi kati ya St . George au Al Hilal ya Sudan na siyo Al Ahly Tripoli
Hao Petro Atletico de LuandaMsimu uliopita wamewatoa Mamelod
Nakwambia tena, kariba ya Simba iko kwenye kupambania kuchukua ubingwa na sio kupambania kufuzu hatua moja. Sasa Simba iogope kukutana na nani?Ubingwa? be serious kidogo
Bora sisi asee, Al Hilal wanatisha.Mkuu hata sisi tumekutana miamba, ila nakumbuka ni kama tushawahi kucheza na Big Bullets na Red Arrow , hao waangola ndo hofu kubwa