Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

Yaleyale waliyoyafanya Namungo (kuwafunga hao wa Angola) Simba Sc anaweza kuyafanya pia, tatizo ni kwamba huwa mnapenda kuzipa ukubwa team ambazo zinakutana Simba Sc, halafu zikifungwa ndio zinageuka kuwa za kawaida (vibonde).

Team ambayo unaweza kusema ni ngumu ni Al Hilal,na hata hiyo inaweza kutolewa tu vilevile.
 
Japo unajikuta unajua mwenyewe.

Ukiambiwa utaje free agent utathibitisha?

Sisi tunachosubiri ni kuwagonga kunako tarehe 13 .
Yani unataka kusema umekuwa na mapenzi na Yanga Sc kiasi cha kutoonna FREE AGENT yoyote aliyopo hapo Yanga Sc?

Hmmmh[emoji23]
 
Daaa afazari, kumbe ni al ahly ya tripoli na si cairo nilidhani CAF wameamua kutukomesha, sasa kinacho fuata ni kupigana pin wenyewe kwa wenye ili wote tusi toboe tuishie vibanda umiza
Al hilal na si al ahly tripoli😅😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…