Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Labda kama tungekuwa hatujawahi.Na wewe mwisho ni mechi ya ngapi? Unafikiri ukivuka kwa wamalawi utaweza kuvuka tena kwa Red arrows au primeiro de agosto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kama tungekuwa hatujawahi.Na wewe mwisho ni mechi ya ngapi? Unafikiri ukivuka kwa wamalawi utaweza kuvuka tena kwa Red arrows au primeiro de agosto?
Sio kwa Yanga hii weweYanga hatoki kwa hao zalan. Nawajua vizuri sana. Vipers walichezea mwaka jana na hao
Uliwajuaje ili hali ni timu ambayo imechukuwa ubingwa mwaka huu?Yanga hatoki kwa hao zalan. Nawajua vizuri sana. Vipers walichezea mwaka jana na hao
Jiandae kupokea wageni wanakuja kucheza na SimbaNa wewe mwisho ni mechi ya ngapi? Unafikiri ukivuka kwa wamalawi utaweza kuvuka tena kwa Red arrows au primeiro de agosto?
Ila kigingi mlichonacho pia sio cha kitoto.Simba ndoanaogopwa hapo!
Yaleyale waliyoyafanya Namungo (kuwafunga hao wa Angola) Simba Sc anaweza kuyafanya pia, tatizo ni kwamba huwa mnapenda kuzipa ukubwa team ambazo zinakutana Simba Sc, halafu zikifungwa ndio zinageuka kuwa za kawaida (vibonde).Simba kazi anayo, kwa wamalawi atavuka lakini ngoma iko kwa waangola primeiro de agosto au Red arrows, mkumbuke simba iliwatoa Red arrows msimu uliopita,sasa wakipenya kwa waangola wanakutana nao kwa mara nyingine sidhani Kama watakubali kuondoshwa tena na kuwa vibonde wa simba, Waangola nawapa nafasi kubwa kuwaondosha red arrows, kwa maana ni timu iliyofanya uwekezaji mkubwa kwenye usajili ikiifata kwa karibu petro atretico ambao ni mabingwa wa angola, wana mpira fulani hivi mgumu na wa kibabe sana, Hivyo simba ijipange vizuri Sana kwa kikosi chao nilichokiona akina muunganiko wanacheza tu kwa uwezo binafsi wa mchezaji mmojammoja
Yani unataka kusema umekuwa na mapenzi na Yanga Sc kiasi cha kutoonna FREE AGENT yoyote aliyopo hapo Yanga Sc?Japo unajikuta unajua mwenyewe.
Ukiambiwa utaje free agent utathibitisha?
Sisi tunachosubiri ni kuwagonga kunako tarehe 13 .
Kama kawaida yenu kuiwaza Simba Sc tu, fikirieni kuhusu mlima wa Al Hilal huko.Japo unajikuta unajua mwenyewe.
Ukiambiwa utaje free agent utathibitisha?
Sisi tunachosubiri ni kuwagonga kunako tarehe 13 .
Zalan ni SOUTH SUDANZalan ya South Africa
Big bullets ya Malawi
ndio hao wanakimbiza mwizi kimya kimya hawa,Mungu asaidie tu ila hawa sio watu wazuri.Msimu uliopita wamewatoa Mamelod
mnzanungumzia petro atletico au preimero de agosto?ndio hao wanakimbiza mwizi kimya kimya hawa,Mungu asaidie tu ila hawa sio watu wazuri.
Safari ya Yanga itaishia hapa kwa Al HilalOoh wamebadili Yanga wakimtoa Zalan wanakutana na mshindi kati ya St . George au Al Hilal ya Sudan na siyo Al Ahly Tripoli
Tanga ana timu gani na ubavu upi wa kumtoa Al Hilal?Yanga this time anatinga group stage. Save this comment for refferences
kuna member hapo juu keshaweka sawa mkuu,kuna de agosto na de luanda.hapo mimi binafsi nilichanganya hizi timu.mnzanungumzia petro atletico au preimero de agosto?
Al hilal na si al ahly tripoli😅😅😅😅Daaa afazari, kumbe ni al ahly ya tripoli na si cairo nilidhani CAF wameamua kutukomesha, sasa kinacho fuata ni kupigana pin wenyewe kwa wenye ili wote tusi toboe tuishie vibanda umiza