Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

Simba kazi anayo, kwa wamalawi atavuka lakini ngoma iko kwa waangola primeiro de agosto au Red arrows, mkumbuke simba iliwatoa Red arrows msimu uliopita,sasa wakipenya kwa waangola wanakutana nao kwa mara nyingine sidhani Kama watakubali kuondoshwa tena na kuwa vibonde wa simba, Waangola nawapa nafasi kubwa kuwaondosha red arrows, kwa maana ni timu iliyofanya uwekezaji mkubwa kwenye usajili ikiifata kwa karibu petro atretico ambao ni mabingwa wa angola, wana mpira fulani hivi mgumu na wa kibabe sana, Hivyo simba ijipange vizuri Sana kwa kikosi chao nilichokiona akina muunganiko wanacheza tu kwa uwezo binafsi wa mchezaji mmojammoja
Yaleyale waliyoyafanya Namungo (kuwafunga hao wa Angola) Simba Sc anaweza kuyafanya pia, tatizo ni kwamba huwa mnapenda kuzipa ukubwa team ambazo zinakutana Simba Sc, halafu zikifungwa ndio zinageuka kuwa za kawaida (vibonde).

Team ambayo unaweza kusema ni ngumu ni Al Hilal,na hata hiyo inaweza kutolewa tu vilevile.
 
Japo unajikuta unajua mwenyewe.

Ukiambiwa utaje free agent utathibitisha?

Sisi tunachosubiri ni kuwagonga kunako tarehe 13 .
Yani unataka kusema umekuwa na mapenzi na Yanga Sc kiasi cha kutoonna FREE AGENT yoyote aliyopo hapo Yanga Sc?

Hmmmh[emoji23]
 
Daaa afazari, kumbe ni al ahly ya tripoli na si cairo nilidhani CAF wameamua kutukomesha, sasa kinacho fuata ni kupigana pin wenyewe kwa wenye ili wote tusi toboe tuishie vibanda umiza
Al hilal na si al ahly tripoli😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom