DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

We mkuu kwa Sasa hivi Rwanda haina uwezo Kama ule wa Congo was kupigana na nchi 7 kwa wakati mmoja, coz ile Congo war nyuma alikuwa Ni USA alimpa kila KITU , ushaidi upo mwingi Sana.
 
Yes mkuu,
Rwanda lilikuwa Ni jeshi la kitutsi Tena walikuwa Ni waasi RPA( Rwanda Patriotic Army) wale walikuwa hawalipwi walikuwa wanajitolea kutoka rwanda civil war mpaka Congo war. RPA walikuwa wapo 26,000. Nilisikia kutoka kwa JAMES MUNYANDINDA kagame former bodyguard. Na pia BAADA ya kuchukua nchi kutoka Rwanda alichukua Genocide survivor akawapa mafunzo na wengi wake aliwapeleka congo Sasa hii inamaana waliongeza idadi. Na hata kwenye first Congo hawakuwa pekeao kumbuka kulikuwa na Uganda, Baadhi ya wanajeshi wa kitutsi kutoka Burundi, na Banyamulenge na waasi wa Congo senior kabila. So hawakuwa pekeao.
Tena kwenye second Congo war
Kulikuwa majeshi ya rwanda ya kitutsi na vikundi vya uhasi vya Congo hasa Banyamulenge na Askari wa mabotu seseko,
Nimewahi kumsikiliza Laurent nkunda batwale alisema kuwa alikuwa na vijana zaidi ya 10,000 kwenye second Congo war. Na alikuwa upande wa rwanda, na vikundi vilikuwa Ni vingi na idadi ya Askari wa rwanda Ni kweli walikuwa wengi.
Ila Ni KWAMBA WANAMOYO WA KUPIGANA HASA. Japo walikuwa wengi ila walishidwa kukimaliza kikosi Cha Angola na Zimbabwe ambavyo viliwasumbua Sana.
zitto junior
 
Ngoja niwaraisishie

 
Kwa maoni yangu Afrika tunawasumbua vijana wetu na kuwatia majeraha bure tu. Unafiki Ni mwingi.....tunaanzisha Vita wenyewe kwa uroho wa madaraka halafu tunakimbia Ulaya kutafuta pesa za kutadhili ugaidi then eti vijana wetu wakalinde amani huku tunazunguka nyuma kuwaangamiza. Sipendi
 
Tanzania JWTZ should take note.

Hao M23 ni jeshi la Rwanda, siyo wahuni.

Wahuni wanapata wapi vifaru na mizinga.

Kama mbwai iwe mbwai.
Kwani jeshi la DRC linasemaje mbona Congo ni kubwa kuliko Tanzania pia kiuchumi sio masikini wanajeshi wetu warudi nyumbani sisi ya kwetu yanatushinda kila mtu apambane na hali yake.
 
Acha propaganda, bomu moja tu linasambaratisha Rwanda yoote.
Umewahi kujiuliza Ukraine na Russia ipi Kubwa?
Kwa taarifa yako vita ya Ukraine na Russia inaenda miezi kadhaa sasa.
 

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kwani jeshi la DRC linasemaje mbona Congo ni kubwa kuliko Tanzania pia kiuchumi sio masikini wanajeshi wetu warudi nyumbani sisi ya kwetu yanatushinda kila mtu apambane na hali yake.
[emoji1][emoji1] labda siku wanajeshi wa Drc wakiwa serious.
 
Mkuu, juhudi za Tanzania ktk kuzima mapinduzi huko Burundi, Comoro na kwingineko ni kukosea kuziita ‘Vita’ tutakuwa tunapoteza maana ya vita mkuu kwa sababu kuu moja, huko tuendako kuzima mapinduzi hatuendi pigana na jeshi zima la nchi hiyo, bali sehemu tu ya askari waloamua kuasi, hivyo si vita. Tanzania vita tulikuwa nayo mwaka 1977 dhidi ya Uganda. Pia mbali na kushinda machungu tuliyaona.

Ukirejea tena nilichoandika awali sikusema ni ‘Mji mkuu pekee’ nilisema focus kubwa ilikua huko, na hiyo haikuwa na maana kuwa walienda Kinshasa tu.

Bado naamini Rwanda wako overrated, Ndiyo walifanikisha kwa nafasi kuwa ktk kuipata Congo hii tuionayo leo. sababu tukiangalia Military objectives zao walizotazamia kuzikamilisha Congo si zote zilitimia pia napata ukakasi kuziita juhudi zao kuwa zilishindwa ila ni ukweli kwa kiasi kikubwa zilishindwa hiki ndicho kinanfanya nichelee kuipa Rwanda hadhi ya kana kwamba ni ‘invincible’ au kuiona kwa hadhi kubwa kama inavyooneshwa na waandishi kadhaa upande wa kijeshi.

Kumfurusha Mobutu walifanikiwa.
Kutwaa ardhi ya Congo hawakufanikiwa japo waliendelea kukwapua maliasili zake.
Kuongeza usalama mpakani mwao na Congo ili kuwaweka mbali interahamwe walifanikiwa.
Kuwa na ushawishi ndani ya Congo hawakufanikiwa kwa kiwango kikubwa.

Mwanzoni tu wakati Rwanda, Uganda na L. Kabila wanafanya oparesheni kumfurusha Mobutu na mpaka walipofanikiwa Rwanda alikua na ushawishi mkubwa ndani ya Congo kiasi hata Millitary chief of staff wa jeshi la L.Kabila alikuwa ni Mnyarwanda James Kabare, askari wa Rwanda pamoja na vikundi vinavyoungwa mkono nao walikuwa wakizunguka Kinshasa... wakati wote huo Rwanda waliweza ingia, toka na kufanya chochote ndani ya Congo mpaka alipotimuliwa bwana Kabare julai 1998.
Mwanzoni Vita vya pili vya Congo vya wenyewe kwa wenyewe Rwanda waliishika karibu Congo yote, si mashariki si Magharibi. Waliweza kuviunganisha vikundi kadha wa kadha kupigana upande wao.

Hayo yote yaliwezekana kabla ya kuingia Angola na askari wao wazoefu, Zimbabwe na jeshi lao la anga takatifu, Sudan, Libya, Chad na Namibia.

Dhahiri kabisa askari wachache wa Angola walivirudisha nyuma vikundi na jeshi la Rwanda kutoka maeneo ya Magharibi mwa Congo, jeshi la Zimbabwe likavirudisha nyuma vikosi vilivyokuwa karibu kuizingira Kinshaza, Zimbabwe pia walifanya kazi nzuri kuvuruga mpangilio wa jeshi la Rwanda na wanamgabo wake kwa mashambulizi ya Anga hasa mashariki mwa Congo.

Mwisho nasistiza kuwa Rwanda walifanya nafasi kubwa, lakini si sawa kuichorea picha kuifanya kuwa ‘invincible’ machoni pa wengi hasa watanzania. Rwanda walinufaika sana na uwepo wa watu wa makabila yao mashariki mwa Congo, wakanufaika na madudu ya Mobutu yaliyowafungulia njia kuingia ndani ya Congo, wakanufaika na ukarimu wa Kabila kuwakaribisha, ikiwa Rwanda wakaingia vitani ktk mazingira tofauti kama ya Kenya au Tanzania ambako hakuna mazingira sawa na Congo basi jeshi la Rwanda litadhalilika sana.
 
Umeeleza uzuri sana mkuu, nami ndiyo ilikuwa hoja yangu.
 
Umewahi kujiuliza Ukraine na Russia ipi Kubwa?
Kwa taarifa yako vita ya Ukraine na Russia inaenda miezi kadhaa sasa.
Niko upande wa Ukraine katika Vita hii, Russia wanaweza kuimaliza vita hii hata ndani yasiku moja, ukweli unaujua.
Kwa nini Vita ya Ukraine haiishi?
1.Ukraine ni Proxy katika vita hii
2.Vita hii inaweza kumalizika kwa mazungumzo, na wa kuimaliza ni Washington D.C
3.Ni vita ya Putin na sio Russia
4.Vita hii ni Opportunity kwa Russia na US.
5.Imeamuliwa na West kuwa hii vita iachwe iwe prolonged ili Putin atumie gharama kubwa kumpunguza nguvu.
 
Kwanza JWTZ huko Congo inatafuta nn? Km kulinda Aman mbna hapa kwetu Panya Road wanasumbua? Ngoro Ngoro je? Km sio unafiki na ufukunyuku n nn? Umbea na ukuda wa kiwango cha juu, tena hao M23 naona bado hawafanyi ipasavyo, wanatakiwa kuwasha motoo had wapoteane.

Nasemaje M23 piga hao JWTZ kipigo cha mbwa mwizi had wapate akili ya kurudi kwao, msieeeew unafiki tyuuh.
 

raisi yuko royal tour ngoro ngoro
 
Waambie na akili iwakae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…