DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

hahahahaha,cjui nisemaje, lakini M23 wako kulinda au kuzuia FDLR, wasiwe na nguvu,na wasifikie malengo yao ya kuangusha utawala wa kigali .

FDLR wanalengo la kurudi rwanda km nyumbani.na pia kuondoa utawala wa kigali

Kigali inachofanya ni kuonesha kwamba drc wamewahifadi maadui zangu.,hawezi peleka RDF ktkardhi ya congo. Ndo wakatengeneza ghost army wakatibue mipango yao. Mengine yanaendelea ni mengi huko
 
Mnamkuza tu huyo kagame wenu, Kipindi cha JK mbona alichapika vizuri mno, na sisi kupeleka wnajeshi kongo ilikuwa ni strategy, tungempiga kutokea kongo na tz, tungewazingira
Yani yule tukiamua kumpiga, tunampiga kutokea Burundi, Uganda (hawapatani na M7), Congo...na kutokea Bongo. Yan tunamzingira. Mbona watapoteana
 
Unataka kuja kudanganya watu hapa Israel anaweza kumpiga Iran... Thubutuuu. Iran aliwatumia Hizbollah tu mwaka 2006, mbona Israel alicharazwa akaomba poo!
 
Nimekuelewa boss...

Hivi unaamini kweli Fdlr wana nguvu yeyote ya kuangusha utawala wa Kagame ?....nadhani wanatumika tu kama sababu ya Kigali kupata uhalali wa kuendeleza ushawishi huko Kivu, (nadhani uwepo wao huko misituni ni muhimu kimkakati).
zitto junior wa kupuliza Richard
 
Ila wewe mkuu unaketa utani wa ngumi sasa
Eti waliiba chocolate[emoji23]
 
Kuna siku niliota JPM akiwavisha sijui nini wanajeshi wa kagame kuuule, baadae nikastuka na kujisemea hii ndoto si nzuri kwangu, halafu nikajiuliza hayo yote NI kumkomoa JK? Kwa hili liliitokea hayati angekuwepo angejua hajui, ila kwa vile ilikuwa ni ndoto nikatema mate kushoto mara tatu nikageukia upande wa pili kuendelea na usingizi wangu
 
Kenya hawa walioshindwa westgate?

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Yani yule tukiamua kumpiga, tunampiga kutokea Burundi, Uganda (hawapatani na M7), Congo...na kutokea Bongo. Yan tunamzingira. Mbona watapoteana
M7 hapatani na kagame kutoka lini mkuu?

Wakati mtoto wa kagame daily anaenda kufundishwa udikteta na Pk
 
Vita ni experience na strategy hivi kuna Jenerali bongo ana track record ya James Kabarebe? Kenya Wana vifaa ila hawana strategy otherwise wasingekuwa weak hivyo.
Mzee unachekesha sana, sana yaani dah [emoji23]

Ila nakwambia sema tu JWTZ hawana issue za kujipambanua au details hazitoki mara nyingi kwa public, ila ni upuuzi kulifananisha jeshi la PK na JW, unachekesha sana aisee
 
Ila wewe mkuu unaketa utani wa ngumi sasa
Eti waliiba chocolate[emoji23]
😄😄 Niko serious kabisa mkuu,CCTV camera ziliwanasa wakiiba na hizo video Zilikua hata kule YouTube mkuu.
 
Mzee unachekesha sana, sana yaani dah [emoji23]

Ila nakwambia sema tu JWTZ hawana issue za kujipambanua au details hazitoki mara nyingi kwa public, ila ni upuuzi kulifananisha jeshi la PK na JW, unachekesha sana aisee
Tatizo lenu mnakuwa too theoretical, hata nikikuiliza utoe ushahidi wa kwanini JWTZ ni bora kuliko RDF najua hauna. Mimi naongelea RDF sababu ya milestones zake, kuanzia campaign za kule Uganda, hadi kuiteka Rwanda mpaka kuivamia DRC mpaka kujipenyeza Angola na Jamhuri ya Afrika ya Kati hizo sio milestone ndogo tena ndani ya mwaka mmoja tu toka watoke kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe. Recently tu wamezima magaidi wa Mozambique!!

Na ambacho hufahamu nchi inayoongoza kuwa na majeshi kwenye foreign land na peacekeeping mission ni Rwanda. Licha ya udogo wa jeshi imeweza kusambaa nchi nyingi sana mpaka Leo so tusidharau sababu hatuna taarifa za kutosha.

Sasa kwa faida ya mjadala na wewe njoo na counter arguments for JWTZ maybe mission za Seychelles, Darfur n.k ila sio kuita wengine wanachekesha huku hauna milestone hata moja ya kushare hapa.
 
Rwanda siyo strong kama unavyotaka kutudanganya hapa period! Uzuri wake nieishi kiaka kumi Rwanda najua mambo mengi tu na weakness zake nazijua, kwahiyo hebu tuache kudanganyana hapa. Rwanda ni time bomb!
 
Porojo tu sioni facts ulizileta, kuishi uraiani ndio kujua uwezo wa kijeshi?? Ongelea missions za Manqueal De Zombo huko Angola ama Kisangani II n.k ndio utaelewa uwezo wa kijeshi wa Rwanda, sio silaha au ukubwa wa Jeshi ndio Una determine ushindi.
 
M7 hapatani na kagame kutoka lini mkuu?

Wakati mtoto wa kagame daily anaenda kufundishwa udikteta na Pk
Juzi tu mwaka juzi majeshi ya Uganda na Rwanda yalipigana Congo. Mpaka wakafungiana mpaka. Labda kama hufuatilii. Hizo unaongea ni story za zamani
 
Juzi tu mwaka juzi majeshi ya Uganda na Rwanda yalipigana Congo. Mpaka wakafungiana mpaka. Labda kama hufuatilii. Hizo unaongea ni story za zamani
Mara ya mwisho majeshi ya Rwanda na Uganda kupigana wakiwa Congo ilikua Ni eneo la Kisangani mwaka 2002.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…