Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
hahahahaha,cjui nisemaje, lakini M23 wako kulinda au kuzuia FDLR, wasiwe na nguvu,na wasifikie malengo yao ya kuangusha utawala wa kigali .Lengo lao ni lipi Sasa?..je ni kupata tu 'attention' kutoka kwa viongozi wa Kinshasa kwamba bado wapo ?...
Au ni mkono wa nchi jirani tu (Rwanda) kuwakumbusha watawala wa Drc kwamba bado wana ushawishi huko mashariki ? ,hivyo maslahi yao yazingatiwe ?
zitto junior
Richard
FDLR wanalengo la kurudi rwanda km nyumbani.na pia kuondoa utawala wa kigali
Kigali inachofanya ni kuonesha kwamba drc wamewahifadi maadui zangu.,hawezi peleka RDF ktkardhi ya congo. Ndo wakatengeneza ghost army wakatibue mipango yao. Mengine yanaendelea ni mengi huko