NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
WANAPELEKA KWA MUKANDARASI.Kilichofanyika wanajeshi wa Urusi waliimwagia mafuta kama mzaha alafu wakagusanisha mbawa ya su-27 kwenye injini ya ndege ya Marekani.
Baada ya tukio hilo, zile pangaboy za ndege ya Marekani zikavunjika mithili ya mabua.
Warusi hawakutaka kuipiga kombora ili waibebe nzimanzima waipeleke Iran kama ilivyo kawaida yao 😂
Yani Urusi imejitosheleza kiasi kwamba ikikamata visilaha vya NATO inavipeleka Iran
Inauma inaumaa inauma.Toka nimeanza kuona hii nyuzi ya drone ya marekani kushushwa na kupelekwa Iran kwa reverse engineering sijaona pro NATO wakikomenti mahali popote🤣🤣🤣🤣
Yupo tandahimba halafu anavunga yupo kiwalani.Hiyo vingunguti kwa mnyamani iko wapi??
Aliekusumilia kama kuna sehemu inaitwa vingunguti kwa mnyamani kakuongopea,, wape hai mwakaleli!!
Dunia ina vichaa wengi sana, Russia wanaigopa USA kwa silaha zao huku kijana mmoja kutoka Tanzania ambae hajawahi kufanya kazi kwenye Jeshi la USA akituthibitia ubora wa vifaa vya kijeshi walizonazo USA na RUSSIA.
Serikali isiochukua hatua ya kuwapima akili wananchi wake tatizo litazidi kuwa kubwa sana.
Japo inawezekana na mimi ni kichaa pia make sijapimwa pia akil
[emoji38]waingie Frontline basiWamarekani wa mbezi kibanda cha mkaa wamenuna kuliko hata wamarekani wa nyuuyoku!!
Ni mfuasi tuu wa "upinde" ndio anaweza kuamini upuuzi huo.UTUMBO MTUPU HUYO URUSI AMBAE ANAHANGAIKA NA UKRAINE MWAKA SASA? PAMOJA NA KUKODI MAJESHI NORTH KOREA, VENEZUELA NA CHINICHINI CHINA BADO ANAPELEKEWA MOTO.
URUSI HAKUNA KAZI MAGWARIDE YA KIZUSHI ILA ANASHINDWA KUITEK UKRAINE MWAKA SASA.
KUJITOA VITANI ANAONA AIBU, KUSHINDA HAWEZI.. NGOMA NGUMU
NYIE NDO WALE WAFUGA NDEVU KAUAWA GENERAL MKUBWA WAKARUSHA VIKOMBORA UCHWARA WAKASEMA WAMEUA KAMBI NZIMA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Front kwani pale hotelini mkuu?[emoji38]waingie Frontline basi
Achananae camera man uyoUnazjua drone aina zake au unalopoka tuuu...
Wala hakajashambuliwa,kamerushiwa mafuta TU,Chali .ka drone kalivyo kadogo kanashambuliwa kwa ndege ya vita
Sasa hivi umeshajiweka vizuri,hutashambuliwa tena,ndio maana unapata likes kutoka pande zote.Tupeane maarifa, lilikuwa na ukubwa gani hilo baloon. Nisije nikasema ka baloon kadogo wenye ligi yao wakanishukia kama mwewe wa jangwani
Ishu sio makabiliano baina ya ndege na droni.Ngoja wameza taka taka wa habari kama hizi waamke.
Ndege Urusi IMEGONGA Drone ya US ila habari ilivyoletwa ni kana kwamba kulikuwa na makabilino kati ya ndege Urusi na Drone.
Zombies on the beat
Kila kitu kipo online googleTupeane maarifa, lilikuwa na ukubwa gani hilo baloon. Nisije nikasema ka baloon kadogo wenye ligi yao wakanishukia kama mwewe wa jangwani
Ha ha haa sentensi ya mwisho imenichekesha mazee.Kilichofanyika wanajeshi wa Urusi waliimwagia mafuta kama mzaha alafu wakagusanisha mbawa ya su-27 kwenye injini ya ndege ya Marekani.
Baada ya tukio hilo, zile pangaboy za ndege ya Marekani zikavunjika mithili ya mabua.
Warusi hawakutaka kuipiga kombora ili waibebe nzimanzima waipeleke Iran kama ilivyo kawaida yao 😂
Yani Urusi imejitosheleza kiasi kwamba ikikamata visilaha vya NATO inavipeleka Iran
Kwa taarifa Yako TU ni kwamba Huyo unaemwita mnyama hua anapigwa matukio ya kibabe na dubu na hua anaishia kupiga kimya TU.Mnyama atajibu mapigo tu aidha direct on indirect
Hakuna atachoweza kufanya ndugu.Acha kelele mnyama atajibu tu
TUmesha zamia bahari nyeusi tunatafuta mzoga wa mmarekani,tuupeleke makumbusho yetu yaliyopo Iran🤸🤸🤸🤸🛩️Vipi nyie warusi wa vingunguti kwa mnyamani?
Mimi ligi zangu zipo kwenye soka na michezo kwa ujumla ikiwemo betting. Ikitokea nina imani na performance fulani, naweka mzigo, yaani nabet hela kabisa ili either nifaidike na imani yangu au nipigwe, na mojawapo huwa linatokeaLazima na wewe una ligi unazobishaniaga, sasa sijui huwa unagain nini?
Kwanini usisime ndio ibuko lake🤔WARUSI WA BUZI BANA SASA KAMA MAREKANI ANA UWEZO WA KUPELEKA DRONES HADI KULE MBONA HAO WABAGUZI WARUSI HAWAPELEKI HATA PARACHUTE PALE JIRANI NA HAWAII?? HAWAII MBALI WAPELEKE PALE ALASKA JIMBO LAO WALILOMUUZIA MMAREKANI🤣🤣🤣
HALAFU COLLISION YA VIFAA VYA ANGA NI JAMBO LA KAWAIDA, WALIWAHI KUGONGANA NDEGE YA MAREKANI NA UCHINA TENA ZA KIVITA.KUNA UTOFAUTI KATI YA KUSHAMBULIA DRONE NA KUIGONGA, KWANINI HAWAKUIANGUSHA KWA BOMU? 🤣
MOTO UKO PALE PALE URUSI HII VITA NI ANGAKO LAKE MAZIMA,MTAKE MSITAKE
Ni kitu cha kawaida hicho kinakuzwa kwa vile hamna jambo kubwa la ziada. Mid air collision ni ajari unayoweza kwepa kuwajibika ukitoa visingizio, hiyo drone haijadunguliwa. Na drones hazina manouvres kama manned fighter jets kwahiyo Su-27 ziliweza kuzunguka na marubani wakaamua cha kufanya kuliko operator wa hiyo Reaper angeweza fanya uko aliko Marekani au kwingineko labda Ujerumani ambapo kuna command kubwa ya drones za Marekani.
Drone sio silaha ya kufanya nchi ziingie vitani na ndio maana mataifa yalizitengeneza. Hakuna rubani kafa hapo ingekuwa ni U-2 ya Mmarekani ndio ilikuwa inafanya reconn kwenye international waters kisha ikaangushwa tungeongea lugha nyingine. Hata Urusi ilinywea Uturuki ilipodondosha ndege yake na kuua rubani kwa sababu ilikiuka na kuingia kwenye anga la Uturuki kimazoea.
Russia haijasema direct imedondosha ile ndege. Its unprofessional marubani kuendesha ndege karibu karibu na sio mara ya kwanza marubani wa Urusi kufanya hivi. Ila mid air collisions sio jambo geni kwenye ndege.
Lakini kama wanataka ligi, Marekani inazo ndege nyingi tu wala sio kupambanisha surveillance drone dhidi ya fighter jet.