Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

Ni kweli, mambo ya kivita siyajui. Hata huu uzi wa Russia na Ukraine nimejichanganya tu nikajikuta nimecomment, ila wala si mpenzi au mshabiki wa Russia au Marekani kama mlivyo. Kwa upande mwingine hata mimi huwa nawashangaa mnachobishaniaga, ingawa huwa naepuka kuwaita wajinga kwa kuhofia kwamba huenda kweli kuna mambo mnagain kutokana na ligi hii
Ni kijiwe cha kupiga porojo. Hakuna tunachogain zaidi ya porojo na ubishani siku zipite. Mada wametupa wazungu wenyewe.
images (10).jpeg
 
Kuna sintofahamu hapa Marekani baada ya Russia kuilazimisha/Kuigonga drone ya Marekani na kuishusha,,,,hii imetokea over Black sea. Baraza la Usalama la Russia limejitetea kwa kilichotokea.

Kama unapenda kufuatilia habari, katafute vyanzo vya habari usome.

Siku njema.

IMG_4012.jpg

IMG_4042.jpg

IMG_4011.jpg

IMG_4048.jpg
 
Ni kweli, mambo ya kivita siyajui. Hata huu uzi wa Russia na Ukraine nimejichanganya tu nikajikuta nimecomment, ila wala si mpenzi au mshabiki wa Russia au Marekani kama mlivyo. Kwa upande mwingine hata mimi huwa nawashangaa mnachobishaniaga, ingawa huwa naepuka kuwaita wajinga kwa kuhofia kwamba huenda kweli kuna mambo mnagain kutokana na ligi hii
Hakuna unachojifunza?
Screenshot_20230314-142310.jpg
 
Aibu sana.

Warusi waliitaka hiyo droni ikiwa hai au mfu ndio maana wakaidondosha ndani ya Black sea.

Ningekuwa hodari wa kuchora vikatuni ningechora zile patriot zilizokuwa zikiingalia kinza hyapersonic ikielekea kwenye lengo kule Kyiv bila kuifanya chochote,Na hii droni iliyomwagiwa mafuta ikaingia woga na kudodondok Najua ingependeza sana
 
Kilichofanyika wanajeshi wa Urusi waliimwagia mafuta kama mzaha alafu wakagusanisha mbawa ya su-27 kwenye injini ya ndege ya Marekani.

Baada ya tukio hilo, zile pangaboy za ndege ya Marekani zikavunjika mithili ya mabua.

Warusi hawakutaka kuipiga kombora ili waibebe nzimanzima waipeleke Iran kama ilivyo kawaida yao 😂

Yani Urusi imejitosheleza kiasi kwamba ikikamata visilaha vya NATO inavipeleka Iran
 
Back
Top Bottom