Kobazi ulikua unajificha kujionesha kwenye Uzi wangu wa kwamba kwanini timu za kiarabu azipost sikukuu za kikristo atimae Leo umejionesha mchana kweupe hahahaha 🤣🤣🤣🤣Asante kwa taarifa Myaudi wa tandare..
Kobazi wote wako kimya.Kiongozi mkuu wa Iran kajificha kwenye maandaki yenye uwezo wa kuzuia milipoko ya zaidi ya 500 kgs hataki mawasiliano na duniani kabisa.Ila Israel anachowafanyia hawa watu
Sasa itakuwaje?
Iran atulie tu au aendelee anaweza kubahatisha?
Kobazi ulikua unajificha kujionesha kwenye Uzi wangu wa kwamba kwanini timu za kiarabu azipost sikukuu za kikristo atimae Leo umejionesha mchana kweupe hahahaha
Kama huwajui Wairan na Washia walivyowabishi, subiri uone muziki wake. Hii kitu haiishi leo wala kesho
[emoji23]Na nitawahabarisha haswa, nina raha hadi naumwa, Israel imetuheshimisha....makobaz leo mtatukana sana.
Ila Israel wana dharau khaaahIran licha kupigwa na mindege ya Israel kwa awamu nne, 4 waves, ilishindwa kuangusha hata ndege moja, au hata kuzuia makombora, imepigika haswa, sasa Iran ikajibu kwa kutuma drones, zimepigwa zote chini....
IDF rescinds order to stay near shelter after intercepting Iranian drones
ByAMICHAI STEIN
The IDF's Home Front Command rescinded the order to stay near sheltered areas nationwide on Friday morning, following a reduced threat analysis after the military said it intercepted drones launched from Iran.
Live updates: Iranian missiles launch more strikes on Israel, 4 killed | The Jerusalem Post
Majority of Iranian missiles intercepted or missed target, IDF confirms • IDF intercepts drones over Eilat • Sirens sound across all of Israel overnight on Saturdaywww.jpost.com
Ila Israel wana dharau khaaah
Kobazi ulikua unajificha kujionesha kwenye Uzi wangu wa kwamba kwanini timu za kiarabu azipost sikukuu za kikristo atimae Leo umejionesha mchana kweupe hahahaha