Drones zote za Iran zimepigwa chini, anga ya Israel salama

Drones zote za Iran zimepigwa chini, anga ya Israel salama

Ndio maana nchi kubwa kama Jordan,Saudi,UAE nk zimeamua tu kuelewana na huyu Israel .
Maana ubavu wa kushindana nae hawana
Jordan wametungua drones za Iran
1000131761.jpg
 
Basi ww umekufa haupo dunian
Kiko wapi ? Shambulizi la iran la kwanza ambalo limeripotiwa na vyombo vyote vya habari dunian limefanyika jana ....hii habari sijui drone za iran zimelipuliwa ulikuwa ni uzushi wa propaganda
 
Kiko wapi ? Shambulizi la iran la kwanza ambalo limeripotiwa na vyombo vyote vya habari dunian limefanyika jana ....hii habari sijui drone za iran zimelipuliwa ulikuwa ni uzushi wa propaganda
zile droni inawezekana zililipuliwa kweli ila kilichotokea leo nimeamini zile droni zilirushwa kimkakati ili iran wapate urahisi wa kufanya walichofanya leo,kama kawaida bila shaka zile drone zilienda kulemaza mifumo yao ya ulinzi wa anga...IRAN AKILI MINGI
 
Back
Top Bottom