B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Sawa sawaNdege za Israel ziliishia katika anga la Iraq, wamerushia missiles kutokea Iraq.
Sawa sawaNdege za Israel ziliishia katika anga la Iraq, wamerushia missiles kutokea Iraq.
Kwamba makombora yamerushwa tokea Iraq na yakafanikiwa piga majumba ambayo waliouawa walikuwa wamelala?Ndege zimeishia anga la Iraq ambapo ni US ndiye anatawala.
Kingine bado Iran haijajibu mashambulizi na vyuma vinaandaliwa...
Hizo drones zilizotumwa ni ku spy air defenses zote zilipo baada ya muda mtashuhudia mvua...
Huo ndio ukweli wasioutaka!Kama huwajui Wairan na Washia walivyowabishi, subiri uone muziki wake. Hii kitu haiishi leo wala kesho
Kobazi ni jangaKobazi ulikua unajificha kujionesha kwenye Uzi wangu wa kwamba kwanini timu za kiarabu azipost sikukuu za kikristo atimae Leo umejionesha mchana kweupe hahahaha 🤣🤣🤣🤣
I can imagine kwenye Handaki na ile midevu pamoja na miwani huku kavaa delaKobazi wote wako kimya.Kiongozi mkuu wa Iran kajificha kwenye maandaki yenye uwezo wa kuzuia milipoko ya zaidi ya 500 kgs hataki mawasiliano na duniani kabisa.
Huogopi ndugu yangu? Si unajua ni makatili sana makobazi. Unakumbuka yalivyobaka na kuuwa October 7 huku yakimtaja AllahNa nitawahabarisha haswa, nina raha hadi naumwa, Israel imetuheshimisha....makobaz leo mtatukana sana.
Sasa ni zamu ya Israel kumuondoa Ayatollah. Tujiandae na surprise inayofuata. Kobazi na Muslim Brotherhood wao wajiandaeIran licha kupigwa na mindege ya Israel kwa awamu nne, 4 waves, ilishindwa kuangusha hata ndege moja, au hata kuzuia makombora, imepigika haswa, sasa Iran ikajibu kwa kutuma drones, zimepigwa zote chini....
IDF rescinds order to stay near shelter after intercepting Iranian drones
ByAMICHAI STEIN
The IDF's Home Front Command rescinded the order to stay near sheltered areas nationwide on Friday morning, following a reduced threat analysis after the military said it intercepted drones launched from Iran.
![]()
Live updates: Iranian missiles launch more strikes on Israel, 4 killed | The Jerusalem Post
Majority of Iranian missiles intercepted or missed target, IDF confirms • IDF intercepts drones over Eilat • Sirens sound across all of Israel overnight on Saturdaywww.jpost.com
Halafu zinalenga hadi chumbani!!! Hii ni dharau kubwa sana. Huyu Allah hayuko fair kabsa...! MIMI SASA HIVI SITAKI HATA KUSIKIA KITU KINAITWA ALLAHNdege za Israel ziliishia katika anga la Iraq, wamerushia missiles kutokea Iraq.
Aaaaiisee!!!!! Nan amekuambia yote hayo??????Ndege zimeishia anga la Iraq ambapo ni US ndiye anatawala.
Kingine bado Iran haijajibu mashambulizi na vyuma vinaandaliwa...
Hizo drones zilizotumwa ni ku spy air defenses zote zilipo baada ya muda mtashuhudia mvua...
Ubishi bila uwezo ni kupata aibu Tu ifike kipindi tukubali kuwa Iran hawezi kubishana na westernersKama huwajui Wairan na Washia walivyowabishi, subiri uone muziki wake. Hii kitu haiishi leo wala kesho
Utapigana wewe hiyo vita maana wakuu wa juu wa 3 wameuliwa au unafikiri vita ni rahisi kama unavyoongea hapaKama wanamuamini Israel anaweza pigana na Iran basi wakae pembeni tuone vita ya wawili
Russia china Korea iran vs IsraelUSA, UK, France, Jordan,Israel vs Iran
Ufanisi wa Israel katika kuzuia mashambulizi ya Iran unaonyesha uwezo mkubwa wa teknolojia ya ulinzi wa anga na ushirikiano wa kimataifa. Hata hivyo, kushindwa kwa Iran kuzuia mashambulizi ya awali ya Israel haimaanishi kuwa taifa hilo "limepigika haswa." Badala yake, inaonyesha changamoto zinazokabiliwa katika vita vya kisasa ambapo teknolojia na mikakati ya kijeshi hubadilika kwa haraka.Iran licha kupigwa na mindege ya Israel kwa awamu nne, 4 waves, ilishindwa kuangusha hata ndege moja, au hata kuzuia makombora, imepigika haswa, sasa Iran ikajibu kwa kutuma drones, zimepigwa zote chini....
IDF rescinds order to stay near shelter after intercepting Iranian drones
ByAMICHAI STEIN
The IDF's Home Front Command rescinded the order to stay near sheltered areas nationwide on Friday morning, following a reduced threat analysis after the military said it intercepted drones launched from Iran.
![]()
Live updates: Iranian missiles launch more strikes on Israel, 4 killed | The Jerusalem Post
Majority of Iranian missiles intercepted or missed target, IDF confirms • IDF intercepts drones over Eilat • Sirens sound across all of Israel overnight on Saturdaywww.jpost.com
Majumba yamepigwa kwa drones za 'mossad' waliokua ndani ya Iran,kama ukraine walivyofanya kwa urusiKwamba makombora yamerushwa tokea Iraq na yakafanikiwa piga majumba ambayo waliouawa walikuwa wamelala?
Umelidaka kiutamu sana.Kobazi ulikua unajificha kujionesha kwenye Uzi wangu wa kwamba kwanini timu za kiarabu azipost sikukuu za kikristo atimae Leo umejionesha mchana kweupe hahahaha 🤣🤣🤣🤣
Propaganda newsIran licha kupigwa na mindege ya Israel kwa awamu nne, 4 waves, ilishindwa kuangusha hata ndege moja, au hata kuzuia makombora, imepigika haswa, sasa Iran ikajibu kwa kutuma drones, zimepigwa zote chini....
IDF rescinds order to stay near shelter after intercepting Iranian drones
ByAMICHAI STEIN
The IDF's Home Front Command rescinded the order to stay near sheltered areas nationwide on Friday morning, following a reduced threat analysis after the military said it intercepted drones launched from Iran.
![]()
Live updates: Iranian missiles launch more strikes on Israel, 4 killed | The Jerusalem Post
Majority of Iranian missiles intercepted or missed target, IDF confirms • IDF intercepts drones over Eilat • Sirens sound across all of Israel overnight on Saturdaywww.jpost.com
Ndo nimeshangaa sana, na ndo maana hadi sasa Iran hajaweza rusha zile ballistic zakeMajumba yamepigwa kwa drones za 'mossad' waliokua ndani ya Iran,kama ukraine walivyofanya kwa urusi