We nae umeingia mkenge wa propaganda za bbc pole sanaIsrael kabla haja piga shambulizi ana tafuta jeuri yako ilipo na ana paanzia hapo. Unapigwa na unakosa nguvu una bakia kubweka tu
We nae umeingia mkenge wa propaganda za bbc pole sanaIsrael kabla haja piga shambulizi ana tafuta jeuri yako ilipo na ana paanzia hapo. Unapigwa na unakosa nguvu una bakia kubweka tu
Huwezi kurupuka rusha balistiki,unapiga hesabu kwanza baada ya kushambuliwaNdo nimeshangaa sana, na ndo maana hadi sasa Iran hajaweza rusha zile ballistic zake
Tusubiri tamko kutoka masjid mtoroNa nitawahabarisha haswa, nina raha hadi naumwa, Israel imetuheshimisha....makobaz leo mtatukana sana.
Kwamba Iran alikuwa hajafanya recalculation incase ya shambulizi?Huwezi kurupuka rusha balistiki,unapiga hesabu kwanza baada ya kushambuliwa
Leo wamepoteana wote, hakuna wa kunyenyua domoTusubiri tamko kutoka masjid mtoro
TakbirrrrrrLeo wamepoteana wote, hakuna wa kunyenyua domo
Huenda wako msikitiniTakbirrrrrr
Bado hujasemaUSA, UK, France, Jordan,Israel vs Iran
Huenda wako msikitiniTakbirrrrrr
Unaongea tu ili ujipe furaha lakini unaona aibu.sasa jeshi linakuwa na wanajeshi wa tatu tu.Hamas wamekufa makamanda zaidi ya mia 2 ila mbona bado wanapigana au uelewi maana ya vita.Utapigana wewe hiyo vita maana wakuu wa juu wa 3 wameuliwa au unafikiri vita ni rahisi kama unavyoongea hapa
🤣🤣🤣🤣Russia china Korea iran vs Israel
Siku Ulaya itakapokaa pembeni kuhusu Israel basi haitachukua hata nusu saa ilo taifa kuangukaBado hujasema
Iran Hana ubavu wa kumpiga Israel japokuwa anasaidiwa na Russia china Korea ila Israel ni habari nyingine ndio maana Leo kapasua viongozi wa juu wote wa 3 kibabe ndio maana nikakuuliza utapigana wewe kama ma major general wamepasuka Kwa siku 1Unaongea tu ili ujipe furaha lakini unaona aibu.sasa jeshi linakuwa na wanajeshi wa tatu tu.Hamas wamekufa makamanda zaidi ya mia 2 ila mbona bado wanapigana au uelewi maana ya vita.
Hesabu zake zilihusisha majenerali wake kuuawa?..mtindo waloshambuliwa waliutarajia?Kwamba Iran alikuwa hajafanya recalculation incase ya shambulizi?
Israel kama israel hana lolote,nyuma iweke marekani na ulayaIran Hana ubavu wa kumpiga Israel japokuwa anasaidiwa na Russia china Korea ila Israel ni habari nyingine ndio maana Leo kapasua viongozi wa juu wote wa 3 kibabe
Iran kama Iran Hana ubavu wowote bila Russian china koreaIsrael kama israel hana lolote,nyuma iweke marekani na ulaya
Iran ana teknolojia yake, makombora,bavar,drones anazompa mpaka urusi, wakati israel alichotumia leo kila kitu cha mmarekaniIran kama Iran Hana ubavu wowote bila Russian china korea
Sasa ilikuaje akapigwa kipigo Cha mbwa Koko mpaka makamanda wa tatu juu wakafa kifo Cha aibu Leo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Iran ana teknolojia yake, makombora,bavar,drones anazompa mpaka urusi, wakati israel alichotumia leo kila kitu cha mmarekani
Kwenye Vita hata akiuawa Kiongozi bado panakuwepo na maagizo ya kuendeleaHesabu zake zilihusisha majenerali wake kuuawa?..mtindo waloshambuliwa waliutarajia?