Drones zote za Iran zimepigwa chini, anga ya Israel salama

Ndege zimeishia anga la Iraq ambapo ni US ndiye anatawala.
Kingine bado Iran haijajibu mashambulizi na vyuma vinaandaliwa...
Hizo drones zilizotumwa ni ku spy air defenses zote zilipo baada ya muda mtashuhudia mvua...
Kwamba makombora yamerushwa tokea Iraq na yakafanikiwa piga majumba ambayo waliouawa walikuwa wamelala?
 
Kobazi wote wako kimya.Kiongozi mkuu wa Iran kajificha kwenye maandaki yenye uwezo wa kuzuia milipoko ya zaidi ya 500 kgs hataki mawasiliano na duniani kabisa.
I can imagine kwenye Handaki na ile midevu pamoja na miwani huku kavaa dela
 
Na nitawahabarisha haswa, nina raha hadi naumwa, Israel imetuheshimisha....makobaz leo mtatukana sana.
Huogopi ndugu yangu? Si unajua ni makatili sana makobazi. Unakumbuka yalivyobaka na kuuwa October 7 huku yakimtaja Allah
 
Sasa ni zamu ya Israel kumuondoa Ayatollah. Tujiandae na surprise inayofuata. Kobazi na Muslim Brotherhood wao wajiandae
 
Ndege zimeishia anga la Iraq ambapo ni US ndiye anatawala.
Kingine bado Iran haijajibu mashambulizi na vyuma vinaandaliwa...
Hizo drones zilizotumwa ni ku spy air defenses zote zilipo baada ya muda mtashuhudia mvua...
Aaaaiisee!!!!! Nan amekuambia yote hayo??????
 
Kama wanamuamini Israel anaweza pigana na Iran basi wakae pembeni tuone vita ya wawili
 
Ufanisi wa Israel katika kuzuia mashambulizi ya Iran unaonyesha uwezo mkubwa wa teknolojia ya ulinzi wa anga na ushirikiano wa kimataifa. Hata hivyo, kushindwa kwa Iran kuzuia mashambulizi ya awali ya Israel haimaanishi kuwa taifa hilo "limepigika haswa." Badala yake, inaonyesha changamoto zinazokabiliwa katika vita vya kisasa ambapo teknolojia na mikakati ya kijeshi hubadilika kwa haraka.


Ingawa Israel imeonyesha uwezo mkubwa wa kijeshi na ulinzi wa anga, ni muhimu kutambua kuwa hali ya mivutano kati ya mataifa haya mawili bado ni tete. Madai kwamba Iran "imepigika haswa" yanaweza kuwa ya mapema mno, kwani historia inaonyesha kuwa mivutano ya aina hii mara nyingi huendelea kwa muda mrefu na kwa njia zisizotabirika.
 
Kwamba makombora yamerushwa tokea Iraq na yakafanikiwa piga majumba ambayo waliouawa walikuwa wamelala?
Majumba yamepigwa kwa drones za 'mossad' waliokua ndani ya Iran,kama ukraine walivyofanya kwa urusi
 
Propaganda news
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…