Drones zote za Iran zimepigwa chini, anga ya Israel salama

Utapigana wewe hiyo vita maana wakuu wa juu wa 3 wameuliwa au unafikiri vita ni rahisi kama unavyoongea hapa
Taratibu ndugu yangu... tofautisha madrasa na elimu ya kawaida utapata pressure bure
 
Umeacha kushadadia Ukraine baada ya kipigo kizito kutoka Russia sasa umeamia Kwa majews
 
Hao Iran naona kama wajinga,Kwa nini hawatumi ndege vita zao au hawana Anga ya kuzipitisha?

Kwamba majirani zake wote ni circle ya Myahudi au?

Aisee Ukiwa mnyonge ni utapata tabu sana
 
Tayari Iran wamepatwa na kile kilichowapata Hezbollah: viongozi wao wakuu wa Jeshi la Anga wakakutana kwenye Bunker, wamefyekelewa mbali

View: https://x.com/MOSSADil/status/1933472957638045845
Trump amewatumia hili onyo
 
Ndege zimeishia anga la Iraq ambapo ni US ndiye anatawala.
Kingine bado Iran haijajibu mashambulizi na vyuma vinaandaliwa...
Hizo drones zilizotumwa ni ku spy air defenses zote zilipo baada ya muda mtashuhudia mvua...
Mvua ya masika ama mvua ya vuli?
 
Leo Ijumaa Maqbur

Vita Ni Mbaya, Unamuuwa Mkuu Wa Majeshi Kweli
Myahudi anahakikisha anapiga pale panapouma ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.
Si walisema anaua wanawake na watoto ghaza, sasa na hapo wasingizie wanawake na watoto
 
Kwamba makombora yamerushwa tokea Iraq na yakafanikiwa piga majumba ambayo waliouawa walikuwa wamelala?
We unashangaa nini wakati Iran inarusha makombora yanatembea more than 2000 miles nayanapiga target kwa usahihi wa ajabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ