Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Usipotoshe, walichofanya Simba ni Ushirikina, ule moto ni unga unaitwa pangaline ukiweka chini unanuizia dakika tano nyingi moto unalipuka.

Nakupa home work wala haina madhara yoyote, nenda kwenye maduka wanapouza madawa ya asili wale wanauza ubani Nazi mdondo, na vikorokoro vyote vya ushirikina waambie unataka pangaline watakuuzia bei Mdogo ni unga unga tu.

Chukuwa nenda nao nyumbani mchana umwage chini weka na karatasi hapo subiri dakika tano nyingi utaona moto unalipuka.

Hiyo ni kwa ajili ya Wewe kuprove nilichoandika hapa, lakini pangaline unga wake hasa kazi yake ni kwenye ushirikina, unanuizia ukimwaga ule unga chini lazima ulipuke moto mkubwa.
 
Ubani nao ni ingredients ya ushirikina?

Aisee mbona mnatuchanganya sasa?
 
Hata yeye ananiona kama navyomuona yeye

Kila mtu atacheza kwa tahadhari, huku yeye akizidisha sana umakini ukizingatia sisi tuliwahi cheza na Sevilla na mpira ulimwagwa mwingi
 
Naomba nitoe maoni yangu.

Ukiwa umeshafika hatua ya robo fainali kwenye CAF Champions League, kwa nafasi kubwa utakuwa unapambanishwa na timu kongwe na zenye mafanikio makubwa sawa au kuliko wewe. Ni timu zenye uwezo mkubwa kiuchumi na uwanjani pia. Usitegemee timu ndogo tena.

Njia pekee ya kupita kwenye hatua hii ni kujifunza na kuwa na mawazo (mentality) ya hakuna cha kupoteza. Kwa idadi kubwa hupewi nafasi kubwa ya kushinda. Ingia uwanjani na mcheze mkiwa hamna shinikizo lolote (pressure).

Kwa maoni yangu, timu zingine ndio zitakuwa na pressure ya kushinda na sio Simba SC kwa sababu wao ndio wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda na hawatakuwa tayari kushangazwa na timu kama Simba SC.
Kitu cha muhimu ni kwa Simba SC kuwekeza zaidi kupata wachezaji wa kutoka robo fainali mpaka fainali. Na hapo hakuna ujanja zaidi ya kuwapata wachezaji wa kiwango cha zaidi ya wachezaji wa sasa. Hamna kupindisha maneno.

Pia kwenye mchezo wa kandanda, hakuna lisilowezekana. Kuna maajabu yanaweza kutokea. Kuna mifano mingi ya timu ndogo kuishinda timu yenye majina makubwa ya wachezaji na mafanikio.

With the right mentality and "we have nothing to lose" mindset, miracles can happen. Best of luck to Simba SC.
My 2 cents.
 
Ubani nao ni ingredients ya ushirikina?

Aisee mbona mnatuchanganya sasa?
Mimi sifurahishi genge, nimekwambia ukitaka kuprove nenda maduka ya Dawa za asili, washirikina wote vifaa vya kurogea wananunuwa kwenye hayo maduka, Tandika ndio mengi sana, waambie unataka pangaline.

Chukuwa pangaline nyumbani nje ifunguwe mwaga chini kwenye karatasi dakika tano nyingi unaripuka moto mkubwa.

Walichofanya Simba Soweto nakijuwa vizuri.
 
Ubani nao ni ingredients ya ushirikina?

Aisee mbona mnatuchanganya sasa?
Ubani upo wa aina nyingi, ubani mashtaka ni wa ushirikina, ubani maka hata kanisani wanatumia na masheikh wanatumia kwenye duwa na visomo.
 
MIMI SIYO NABII,LAKINI PAMOJA NA KWAMBA SIMBA IPO LEVEL YA CHINI KULINGANISHA NA WAYDAD..SIMBA ATAFUZU HATUA HII NA KWA MARA YA KWANZA SIMBA WATAKUWA MACHAMPION WA HILI KOMBE.
NB;fuatilia kundi lolote la simba,kuna kitu utagundua..

Ni hayo tu.
#simba nguvu moja
 
Tushazoea robo yaani Robo ni kama fainali kwetu tutagongwa tutarudi shirikisho kwa UTO
 
Hata yeye ananiona kama navyomuona yeye

Kila mtu atacheza kwa tahadhari, huku yeye akizidisha sana umakini ukizingatia sisi tuliwahi cheza na Sevilla na mpira ulimwagwa mwingi
Ondoa mahaba, wale walikuwa watalii.

Mamelodi Sundowns hawakutaka kabisa Al Ahaly waingie robo, Wasudan wenyewe ndio walizunguwa, wameachiwa game wanakata viuno tu.

Unajuwa kwa nini? Hawana kina Al Ahaly kuwaeliminate ni group stage, ukiwaruhusu tu kuingia robo mmekwisha, wa najuwa sana kucheza stage hizi mpaka fainali.

Utabiri wangu fainali itakuwa ya Waarabu labda Mamelodi wakomae hasa, maana Simba kwa robo mbele ya hawa jamaa kutobowa itakuwa ni muujiza.
 
CAF haoooooo wanajuaaa aiseeee.......

Yanga sis WAARABU walituandamaaa raundiiii za mwanzo MAkoloooo mkawaa mnatuchekaaaa tuuu sasa na nyieeeee zamu yenu na mkumbuke hamjawah kumshinda mwarabu mwaka huuu hata huko nyumaa ushindi wenu ni golii 1 mkienda kwaooo TANOOO

NIKIWA MZALENDOOO NASEMA MWENDO MUMEUMALIZAAAAA LAKN KISHABIK SHABIK MPIRA NI DAKKA 90
 
Mpira hauko hivyo, angalia wachezaji wako kwanza.

Yanga imejitutumuwa kwa sababu ni kama wameikodi AS Vita ndio Yanga ya sasa.
 
Moto nao kuutengeneza ukawaka ndani ya dakika 5 ni mpaka ukanunie vifaa temeke??

Sasa mbona sioni chemistry kati ya moto na uchawi?
 
Basi na sisi tulikuwa watalii kule Morocco kwenye game ya marudiano na Raja

Kwasababu tayari tulikuwa tumesha fuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…