Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Usipotoshe, walichofanya Simba ni Ushirikina, ule moto ni unga unaitwa pangaline ukiweka chini unanuizia dakika tano nyingi moto unalipuka.Kama wewe ni mtu wa dini basi umenisikitisha sana kwa ufinyu wa maarifa kuhusu mambo ya kiroho
Moto ni indication ya nuru, ushirikina haupatani na nuru.
Moto ni alama ya ukombozi, moto ni alama ya tumaini jipya na ndio Moses anapousogelea mti unaowaka moto aliambiwa avue viatu kama ishara ya kutii nguvu ya nuru.
Palipo na moto hapawezi kuwa na mchawi, hata ukifatilia stori za wachawi wanakula nyama mbichi kwasababu moto kwao ni sumu.
Kama unanibishia jaribu kumuuliza bibi yeyote wa mtaani kwako
Nakupa home work wala haina madhara yoyote, nenda kwenye maduka wanapouza madawa ya asili wale wanauza ubani Nazi mdondo, na vikorokoro vyote vya ushirikina waambie unataka pangaline watakuuzia bei Mdogo ni unga unga tu.
Chukuwa nenda nao nyumbani mchana umwage chini weka na karatasi hapo subiri dakika tano nyingi utaona moto unalipuka.
Hiyo ni kwa ajili ya Wewe kuprove nilichoandika hapa, lakini pangaline unga wake hasa kazi yake ni kwenye ushirikina, unanuizia ukimwaga ule unga chini lazima ulipuke moto mkubwa.