Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

SIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.

1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.

Atakuwa widad????
Acha kuishi kwa kukariri wewe ishi kwa uhalisia wa wakati mtapasuka nyingi subirini tu
 
Kwa wale wapenzi wa hizi timu kongwe hapo vipi? Mtatoboa? Au ndiyo ule mpira wetu wa mdomoni?

CAF Champions League
: Second preliminary round.

Rivers United vs Wydad Casablanca


Date
Team
Result
2022/10/09​
Rivers United
2022/10/16​
Wydad Casablanca
 
Nasemajeeee.... Safari hii robo final tutakavyodili nayo hawataamini na ndio kipindi watauona umuhimu wa yule mtunzi wa ile nyimbo yetu pendwa (hawaaamini macho yaoo....)
 
Ndio mbona unashangaa,unafikiri walifika hapo bahati mbaya au ni kutokana na uwezo.
Alafu nashangaa watu wanaona kupangiwa na waydad ni kama simba kaonewa lakini ukweli ni kwamba kadiri unavyokwenda mbele unakutana na timu zenye ushindani mkubwa.
 
Historia haijawahi kuongopa View attachment 2577013
kama sunderland kulikuwa na watu waliosoma bila shaka walikuwa wahindi na waarabu ambao ndo waanzilishi wa timu na sio nyie madunduka

nyie wote mashabiki wa yanga,ndo maana mkaambiwa yanga ni timu ya wananchi,ndo timu timu ya kila mswahili,mtanzania,timu ya mimi,wewe,yule,wao mzaramo,mmakonde,mrugulu,mngoni,mhaya,mchaga,mkurya N.K...
 
Back
Top Bottom