pakacha77
Member
- Aug 12, 2022
- 91
- 98
Acha kuishi kwa kukariri wewe ishi kwa uhalisia wa wakati mtapasuka nyingi subirini tuSIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.
1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.
Atakuwa widad????