Yanga haina haja ya kutegemea kwa Mkapa kikubwa achange karata zake za kupata point tatu haijalishi anachezea wapi. Afanye kama alivyofanya dhidi ya Club African, pale alipokosea dhidi ya Al Hilal kule Sudan kwa kucheza mpira mkubwa bila ya kupata matokeo arekebishe hilo. Simba wamejijengea mfumo wa kuwika nyumbani halafu ugenini anaweza kucheza ovyo kama digidigi stars. Yanga waweke mfumo wao wa kushinda popote pale na mpira wa hali ya juu.Yanga ndio watajua kwann kwa Mkapa huwa Simba hatuachi alama
TabularasaYanga haina haja ya kutegemea kwa Mkapa kikubwa achange karata zake za kupata point tatu haijalishi anachezea wapi. Afanye kama alivyofanya dhidi ya Club African, pale alipokosea dhidi ya Al Hilal kule Sudan kwa kucheza mpira mkubwa bila ya kupata matokeo arekebishe hilo. Simba wamejijengea mfumo wa kuwika nyumbani halafu ugenini anaweza kucheza ovyo kama digidigi stars. Yanga waweke mfumo wao wa kushinda popote pale na mpira wa hali ya juu.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Ulitaka tupangwe na wareno?Yanga na waarabu sijui wana ugomvi gani?
Mpira hauna formula mkuu kwamba kwavile A kafungwa na B basi C nae atafungwa kama alivyofungwa pia. Ingekuwa hivyo basi hata Yanga aliyemtoa Club African apigiwe hesabu hizo hizo.
Hata kwa Juaneng Galaxy?Yanga ndio watajua kwann kwa Mkapa huwa Simba hatuachi alama
Kiherehere hua hakiwaishi, kwa Club African mlisena kila neno
Mkuu hauna haja ya kujibizana na hao mbumbumbu... Hawajawahi kuwa na jema Kwa Yanga, na Mwaka huu tutawashangaza zaidi ya kule tunisiaMpira hauna formula mkuu kwamba kwavile A kafungwa na B basi C nae atafungwa kama alivyofungwa pia. Ingekuwa hivyo basi hata Yanga aliyemtoa Club African apigiwe hesabu hizo hizo.View attachment 2443999
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Ndivyo mlivyosema wakati tunaenda Tunisia!Utopolo ndio basi tena hamsa zinawahusu waambie wafungashe virago vyao.
Sio uongo, wamemtoa bingwa mtetezi Berkane
Berkane ya sasa hivi ni mbovu ndio maana haipo CAFSio uongo, wamemtoa bingwa mtetezi Berkane
Mlikuwa mnajipa matumaini kuwa Club Africain haiwezi kuisumbua Yanga kwasababu ilishawahi kufungwa goli 8 na Tp MazembeKiherehere hua hakiwaishi, kwa Club African mlisena kila neno
Simba hata ugenini anaunguruma tu.Yanga haina haja ya kutegemea kwa Mkapa kikubwa achange karata zake za kupata point tatu haijalishi anachezea wapi. Afanye kama alivyofanya dhidi ya Club African, pale alipokosea dhidi ya Al Hilal kule Sudan kwa kucheza mpira mkubwa bila ya kupata matokeo arekebishe hilo. Simba wamejijengea mfumo wa kuwika nyumbani halafu ugenini anaweza kucheza ovyo kama digidigi stars. Yanga waweke mfumo wao wa kushinda popote pale na mpira wa hali ya juu.
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Ndio yule Mazembe aliewapiga nyie 4?Mlikuwa mnajipa matumaini kuwa Club Africain haiwezi kuisumbua Yanga kwasababu ilishawahi kufungwa goli 8 na Tp Mazembe
Sasa hao Tp Mazembe ndio mko nao kundi moja, hiyo kihasibu imekaaje?
Tunamkamua vizuri kabisa bila shida. Naziona point zetu nne kutoka kwa mazembe, na wasipojikaza tunachukua zote sita.Wale Yanga waliokuwa wanafurahia kipindi kile kuwa Club Africain ni mbovu kwasababu iliwahi kufungwa goli 8 na TP Mazembe vipi hali yenu saizi ipoje baada ya kuone hao Tp Mazembe mmepangwa naye group moja?