Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Boli linabadilika mkuu.. Kwa Simba ya sasa sioni kama ina future nzuri uko kimataifa. Kama hulioni ilo muda utakupa majibu mujarabu
Actually hatuwezi kukataa kuwa Simba haiko stable ila ni sehemu ndogo sana ya kufanyia marekebisho

Tunaenda kwenye dirisha dogo, huko ndio tunaenda ku regulate hizo dosari
 
Watu wanachanganya kati ya raja casablanca na wydad casablanca.

Hao raja tia maji.Hata hivyo simba huwa anapiga hata Ahly
Raja Casablanca ndio Giant wa Morocco,Wydad ameibuka zaidi miaka ya hivi karibuni japo ni aches Rivals.Raja Casablanca ni timu kubwa sana kwenye soka letu la Africa nafikiri ukiitoa Al ahly ni Raja na Zamalek.
 
Hivi imekuaje Yanga na US MONASTIR (TUN) kupangwa kundi moja wakati walikua pot moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…