Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

Umeangalia makundi mengine kabla ya hilo?

Hilo ni kundi jepesi sana tena sana
Hakuna sababu ya kubisha kuwa simba haipo vizuri na Kundi ni gumu hili kwa timu simba yetu kutokana na inapopitia ila simba ni simba hata kama mgonjwa na uzoefu wa hii michuano upo.
 
Kinacho waponza mnadhani Simba ile ndio hii
Mkuu acha kufananisha Tp Mazembe na timu mbovu mzee..
Hivi unajua baada ya Ahl Ahly, timu inayofuata Kwa mafanikio barani Afrika ni Tp Mazembe, Wana caf champions league 5 na confederation cup 2, caf super cup 3 pia wameshiriki FIFA club world cup mara 5

Hawa ndugu zetu wauza ngada wao Wana Kombe la mambuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna sababu ya kubisha kuwa simba haipo vizuri na Kundi ni gumu hili kwa timu simba yetu kutokana na inapopitia ila simba ni simba hata kama mgonjwa na uzoefu wa hii michuano upo.
Actually hatuwezi kukataa kuwa Simba haiko stable ila ni sehemu ndogo sana ya kufanyia marekebisho

Tunaenda kwenye dirisha dogo, huko ndio tunaenda ku regulate hizo dosari
 
Reactions: Tsh
Hororya sijui kwasasa kama watakuwa kwenye ubora ule wa nyuma maana misimu kadhaa nyuma ilikuwa ni timu ambayo hawakosekani robo fainali.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
 
Mambo yote yanafanyika kimahesabu

Wote hao wana point 9 zetu kwa mkapa

Kati ya hao kuna natafuta mmoja wa kutoa sare naye kwake ikiwezekana na kipigo kabisa

Baada ya hapo hata unifunge goli 5 haiwezi fanya nisipite

Ni swala la hesabu tu
Vipers ana point zetu 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…