cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂 tena watamkumbuka mapema sanaa.Watamkumbuka Maqoba mpigwa
😂😂😂😂 tena watamkumbuka mapema sanaa.Watamkumbuka Maqoba mpigwa
Hapo mstari wa mwisho kabisa; ni LAANA YA KUJITAKIA. Yaani Wananchi wameikataa CCM, halafu nyie mmnaojiita timu ya Wananchi mkaenda kuichangia billions kwa ajili ya 'Uchafuzi Mkuu'!Usitupe matumaini wakati timu yetu si tu mbovu bali imekufa.
NI NINI KIMEIPATA YANGA YANGU !!!
Huna timu wewe utatusumbua local ila hulo nje utaacha ndala.Hakuna hiyo wewe, kwa kiwango chetu kwa sasa hivi, pilates wala Berkane hawatusumbui sisi hawa kabisa yaani
Kweli Ligi yetu ni bora sana ukanda wa SSA kwa kutembeza bahasha na kutumia msuba.Ligi yetu ni bora sana hapa kusini mwa jangwa la sahara
Kuna jamaa moja linabisha ndio nikawa namjibu😆Kila wakati ndio huwa wana anza CAFCC
Wewe ndio umesema MkuuSi useme kuwa ni young africans
Tena nikuambie sasa hamna hamna tunaongoza kundi, nitakurudia hapa muda si upo.Huna timu wewe utatusumbua local ila hulo nje utaacha ndala.
Hatari sana. 😂😂😂Kuna jamaa moja linabisha ndio nikawa namjibu😆
Kivyovyote vile apostle mwamposa lazima ahusikeTena nikuambie sasa hamna hamna tunaongoza kundi, nitakurudia hapa muda si upo.
Tatizo la nyie huwa mnakimbiaga mkishikwa,
😂😂😂😂
😂😂😂 kwanini??Kivyovyote vile apostle mwamposa lazima ahusike
Labda kama kundi la Twanga Pepeta.Tena nikuambie sasa hamna hamna tunaongoza kundi, nitakurudia hapa muda si upo.
Tatizo la nyie huwa mnakimbiaga mkishikwa,
😂😂😂😂
Hapa kuna timu inaenda kutia aibuKUNDI C
1. RS Berkane
2. Simba SC
3. Orlando Pirates
4. Colombe Sportive
Ushahidi unao?Kweli Ligi yetu ni bora sana ukanda wa SSA kwa kutembeza bahasha na kutumia msuba.
😂😂😂 hautaki kuukubali ukweli, wacha uone mambo weyeee.Labda kama kundi la Twanga Pepeta.
Halafu mbele una Striker Ghazabu Doumbia.....😂😂😂 hautaki kuukubali ukweli, wacha uone mambo weyeee.
Ila mashabiki wa Simba kwa kujipa matumaini kisa kucheza na timu za daraja la kawaida imeona ipo daraja la juu tayari. Hao wachezaji wako unaotegemea ( mpanzu, Oura, Gueye) usije kuwakataa inapocheza dhidi ya timu yenye top quality. Wewe una wachezaji wa kuhesabu wenzako wana wachezaji wenye daraja la juu. Ni vyema kujipa muda kushuhudia hata mechi moja dhidi ya mpinzani mwenye ubora ndipo uitimishe hilo la semi final.Hivi wewe Jose, Zamalek anawaza ubingwa tu, na hapo anasubiri Es Tunis au Pyramids nani ataacha ndala.
Ila Simba naiona Semi final msimu huu.