Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

yani mwaka huu yanga na waarabu tu 😡😡😡
 
Mkuu umechambua kwa hisia kali sana utasema ni Mtunisia og hahahahaha
 
Mechi ya pili ndo hua inahitimisha na kuthibitisha nani ana qualify. Hivyo bora umalize home ujue unapanga vipi mechi.
Angalia Simba ilivyomaliza mechi zake zote kirahisi. Tazama Al Hilal kwenye mechi zake za St.George na Yanga. Kumaliza home ni advantage
 
Angalia Simba ilivyomaliza mechi zake zote kirahisi. Tazama Al Hilal kwenye mechi zake za St.George na Yanga. Kumaliza home ni advantage
Hakuna cha home wala wapi usipo jipanga utapigwa popote siku hizi marefa wamenyooka
 
Hahahaaa haya sasa kazi kwenu utopolo ....kila mnakoenda mnakutana na kigongo yaaan mpaka mkome ...si mda mtapoteana na huyo profesoli Nabi si mda mrefu mnamtupia vilago kwanza 23 tu tunawakanda ..[emoji16][emoji16]
Simba tunapigia tena, tunajua style za kuwakojoza vizuri tu.
 
Utasikia Yanga wanasema "Hao ni ndugu zetu wa damu kabisa. Wao African Club sisi Young African"

Halafu wanaenda kupokea kipigo kizito wanarudi wanaliaaa.
Kwani Simba si alikuwa anakalia tano tano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…