Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

Utopolo sasa ndo muache kujimwambafai mfanye mazoezi muache mpira wa mdomoni na kudharau wapinzani wenu. Kwa sasa mtaanza kujipa matumaini kuwa hyo nchi Nabi anaijua vzr kuwa mtapenya na kumvimbisha kichwa Manywele kuwa atapiga hatrick.
 
Achana na Kipanga, yapo vizuri. Ni kama kina Berkane na Pyramid tu. Hawapati nafasi champions kwa sababu ya matimu makubwa yanaingia 2
Hio timu unaifagilia sana ni ya kawaida tu ilipotea muda mrefu kwenye mashindano ya kimataifa ndo imerudi hivo kama Yanga itaweka mikakati mizuri inawezekana
 
Wekeni hapa record yao kwenye soka la Africa tuache mbambamba, Sasa Kipanga na Zalan wana tofauti gani?

Timu za Zanzibar zipambane kwanza kuchukuwa kombe la mapinduzi ndio uwalete huku, kumbe la mapinduzi tu linawashinda.
Kilichobaki ni wewe kuingiza timu yako kwenye maombi idadi ya goli ipungue
 
Wekeni hapa record yao kwenye soka la Africa tuache mbambamba, Sasa Kipanga na Zalan wana tofauti gani?

Timu za Zanzibar zipambane kwanza kuchukuwa kombe la mapinduzi ndio uwalete huku, kumbe la mapinduzi tu linawashinda.
Fact ya kwanza ya kuzingatia kabla hujaangalia rekodi unatakiwa ujue timu ambayo ni mbovu ndio huanzia nyumbani
 
Hio timu unaifagilia sana ni ya kawaida tu ilipotea muda mrefu kwenye mashindano ya kimataifa ndo imerudi hivo kama Yanga itaweka mikakati mizuri inawezekana
Kwa hiyo imerudi kama ilivyokuwa? November sio mbali
 
Mkuu ww ni Yanga!!???
unatufatilia kila kona!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ