ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Yangu watapigwa kama dufu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hapa mtayavaa, kwa zile beki zenu jamaa watakuwa wanapiga penetaration passes za kumwaga, kule kwao uhakika wa wao kuwafunga goli 4 upo kabisa.Nikiwa kama mwana Yanga kindaki ndaki naomba tupangwe na Club Africain tuonyeshe ubabe wetu AFRICA.
Mkuu mimi nipo pamoja na Yanga hadi watolewe.Umepewa ulichoomba! Lkn wewe ni mwanayanga kweli??
Sio mwaka wa tabu ila point zenu ndogo siku zote ndo zimekuwa zikiwahukumu, always mdogo atapangiwa mkubwa na mdogo ni lazima aanzie nyumbani ili kuipa favour team kubwa, unajua ni kwanini?Mwaka wa tabu huu! Kuanzia tena nyumbani, siyi jambo jepesi hata kidogo kwa wananchi.
Kwa Mara ya kwanza sina mzuka kabisa na mechi ya jumapili, tunaopenda timu na siyo oyaoya akili zote na nguvu zote tunataka zielekezwe kwenye plyoff hii kuanzia leo, ikiwemo kubook international friends game ugenini Tena kwa Warabu Jirani na Tunisia.Angalia msije mkamtimua kocha hyo jpili.
Ndoto hizoYanga Wana bahati mbaya sana sana View attachment 2390983
Nyamaza yanga mdomo mnoUnajua naanza kuona bora, wangepangwa na Pyramids au Berkane labda s wangechukulia serious wakajipanga na wakawatoa kwa mkapa,ila kwa sbb wanaona hii timu sijui ni aje vipi vidharau vimeanza kuna mdau hapo juu kasema eti hivi vi timu vya watsup sasa watakachokipata msimtafute mchawi.