Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

This time Yanga inatakiwa iwe na spirit ya Kibanga ampiga mkoloni ndio itaheshimika kimataifa, tumeshachoka kuionea Simba, tunawataka hawa hawa mabingwa wenzetu tufunzane adabu.
Huko CAFCC hampambani na mabingwa bali loosers.


Mabingwa wa ligi nyingi (98%) za Africa wapo CAFCL ukienda kuangalia utapata jibu, Simba Sc yupo huko CAFCL licha ya kwamba hakuchukua kombe la ligi kwasababu quality yake inaruhusu, na hiyo ni ishara ya kwamba bila bahasha za Yanga basi Simba Sc ilistahili kuwa bingwa (siku zote maji hujitenga na mafuta)[emoji23]

Huwezi kuwa bingwa halafu ukipambanishwa na mabingwa wengine unafeli, tafasiri yake ni kwamba ulitumia maarifa sio kama jinsi ambavyo KIKWETE alisema.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Mara ya kwanza sina mzuka kabisa na mechi ya jumapili, tunaopenda timu na siyo oyaoya akili zote na nguvu zote tunataka zielekezwe kwenye plyoff hii kuanzia leo, ikiwemo kubook international friends game ugenini Tena kwa Warabu Jirani na Tunisia.

Uongozi wakishindwa kufanya hili nitawashangaa sana.

Nakumbuka Simba ilipoitowa Zamaleki mwaka 2003 iliikalia kambi Oman wiki mbili.
Hongera now you are talking,hiyo lugha uliongea hapo ni lugha ya majayanti ya soka yanayowaza mpira wa kishindani sio wa mpira kulogana.
 
Unajua naanza kuona bora, wangepangwa na Pyramids au Berkane labda s wangechukulia serious wakajipanga na wakawatoa kwa mkapa,ila kwa sbb wanaona hii timu sijui ni aje vipi vidharau vimeanza kuna mdau hapo juu kasema eti hivi vi timu vya watsup sasa watakachokipata msimtafute mchawi.
Tuko serious na hili kuliko unavyofikiria, this time utaona mabadiriko, hizi mechi lazima uzicheze nje wa uwanja kwanza halafu ndio unawaachia wachezaji na kocha wao wamalizie uwanjani.

Sitaki kuona inatumika nguvu kubwa kuwafunga Simba, sisi wenye timu tunataka akili yote iende kwenye playoff Tena mechi ya kwanza tumalizane nao Dar.
 
Hio timu unaifagilia sana ni ya kawaida tu ilipotea muda mrefu kwenye mashindano ya kimataifa ndo imerudi hivo kama Yanga itaweka mikakati mizuri inawezekana
Imeshindikana kwa Al Hilal ambayo Ali Kamwe alidai ni wepesi kwa Yanga sembuse Wa Tunisia? Kumbuka the more you go to north the more close to Europe where soccer giants dwell.

Vv
 
Tuko serious na hili kuliko unavyofikiria, this time utaona mabadiriko, hizi mechi lazima uzicheze nje wa uwanja kwanza halafu ndio unawaachia wachezaji na kocha wao wamalizie uwanjani.

Sitaki kuona inatumika nguvu kubwa kuwafunga Simba, sisi wenye timu tunataka akili yote iende kwenye playoff Tena mechi ya kwanza tumalizane nao Dar.
Ikiwa hivyo basi mnaweza vuka round ya kwanza
 
Walete hao Club Africain na yeyote tutakayepangiwa kwa sababu hakuna hata sehemu moja iliandikwa kuna timu. Hizo timu zote mpaka kufika hapo ni ngumu so yoyote atakayekuja tutapambana na kuonyesha nini tunaweza kufanya.

Yanga Daima Mbele kwa Mbele Nyuma Mwiko

Sent using Jamii Forums mobile app
.
IMG_20221017_093308.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wekeni hapa record yao kwenye soka la Africa tuache mbambamba, Sasa Kipanga na Zalan wana tofauti gani?

Timu za Zanzibar zipambane kwanza kuchukuwa kombe la mapinduzi ndio uwalete huku, kumbe la mapinduzi tu linawashinda.
Kwahiyo mnakubali kwamba Zalan alikuwa ni kibonde wa kutupwa, sasa zile kelele zenu kipindi kile zilikuwa ni za nini?

Club Afrcain hakikisheni mnawapiga goli bila kurushu wafunge , vinginevyo kule kwao hamtoki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom