Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

Mi simo ila ukubali ukatae mnyama ndo anawakilisha Afrika mashariki baaas!
 
Simba ili kutoboa, hao jamaa watakapokuja kwa mkapa wapigwe si chini ya3-0
Inawezekana kabisa kuwapiga hata 4-0. Tukipulizia kile kitu kwenye vyumba vya kubadilishi.... Tunawakalisha. Tena sasa hivi tumegundua njia mpya,tunapulizia wakati kipindi cha kwanza kinaendelea. Mapumziko wakiingia tuu wanakutana nacho

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Cheka cheka tu huna namna

Mbogamboga mna matatizo sana
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tushayazoea maneno yenu nyieeeeee hata tungepangwa na makondoo mngesema hayo hayoooooo we jiapange kwenda kuwapokea ndo ka,i yenu iyo 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naomba connection ya page ya orlando piratea nione jinsi wabongo walivyoivamia na viingereza vyao brocken
 
Kama hamuwezi utani michezo ipo mingi kashabikie rede sioni unachomlalamikia jamaa hapo
 
Simba kuinanga Yanga halkadhalika Yanga kuinanga Simba ndio utamaduni wetu hatujawahi ombeana mema hata mwaka mmoja
 
Hawa wengi wao wameanza kushabikia Simba enzi ya Mo ndio tatzo sielewi anachokulalamikia hapo
kweli mkuu nafikiri hivyo ndio maana siajona haja ya kujibishana nae sana, Na ninaona utani huyu haujui kabisa
 
Naomba connection ya page ya orlando piratea nione jinsi wabongo walivyoivamia na viingereza vyao brocken
Brocken haaaaaaahaaaaaaa haya nenda kaone wabongo wanavyoongea kiingereza brockeeeeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…