OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
CAF wenyewe wanajua. pages zako kutwa ni post za Simba ScAlafu wakiambiwa Simba inafuatiliwa Zaid dunian mnakataa
Ona Sasa mashabiki wote was yanga mmeamia south
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CAF wenyewe wanajua. pages zako kutwa ni post za Simba ScAlafu wakiambiwa Simba inafuatiliwa Zaid dunian mnakataa
Ona Sasa mashabiki wote was yanga mmeamia south
Mi simo ila ukubali ukatae mnyama ndo anawakilisha Afrika mashariki baaas!MANAAKE HAPO KWANZA NICHEKE [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
WATANI ZANGU ASANTENI KWA KUSHIRIKI, TUONANE MSIMU UJAO
MBWEMBWE ZENU ZINAISHIA ROBO FAINALI TU HAPO
ORLANDO PIRATES A.K.A ''Amabhakabhaka, The Sea Robbers, Bucs, Happy People, Buccaneers, Ezimnyama Ngenkani''
Komaeni na Mwaka huu uwezekano ni mkubwaSimba lengo letu ni ubingwa na huwezi kuwa bingwa kwa kuchagua timu sisi yoyote kati ya hawa waliobaki ni kubamiza tu
Inawezekana kabisa kuwapiga hata 4-0. Tukipulizia kile kitu kwenye vyumba vya kubadilishi.... Tunawakalisha. Tena sasa hivi tumegundua njia mpya,tunapulizia wakati kipindi cha kwanza kinaendelea. Mapumziko wakiingia tuu wanakutana nachoSimba ili kutoboa, hao jamaa watakapokuja kwa mkapa wapigwe si chini ya3-0
uko sawa sikataiMi simo ila ukubali ukatae mnyama ndo anawakilisha Afrika mashariki baaas!
Cheka cheka tu huna namnaMANAAKE HAPO KWANZA NICHEKE 😂😂🤣🤣🤣
WATANI ZANGU ASANTENI KWA KUSHIRIKI, TUONANE MSIMU UJAO
MBWEMBWE ZENU ZINAISHIA ROBO FAINALI TU HAPO
ORLANDO PIRATES A.K.A ''Amabhakabhaka, The Sea Robbers, Bucs, Happy People, Buccaneers, Ezimnyama Ngenkani''
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tushayazoea maneno yenu nyieeeeee hata tungepangwa na makondoo mngesema hayo hayoooooo we jiapange kwenda kuwapokea ndo ka,i yenu iyo 🤣🤣🤣🤣🤣MANAAKE HAPO KWANZA NICHEKE 😂😂🤣🤣🤣
WATANI ZANGU ASANTENI KWA KUSHIRIKI, TUONANE MSIMU UJAO
MBWEMBWE ZENU ZINAISHIA ROBO FAINALI TU HAPO
ORLANDO PIRATES A.K.A ''Amabhakabhaka, The Sea Robbers, Bucs, Happy People, Buccaneers, Ezimnyama Ngenkani''
okayCheka cheka tu huna namna
Mbogamboga mna matatizo sana
tutaenda kuwapokea mkuu hata usijali, lakini haiepushi kipigo kipo palepale🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tushayazoea maneno yenu nyieeeeee hata tungepangwa na makondoo mngesema hayo hayoooooo we jiapange kwenda kuwapokea ndo ka,i yenu iyo 🤣🤣🤣🤣🤣
Kama hamuwezi utani michezo ipo mingi kashabikie rede sioni unachomlalamikia jamaa hapoJifunze kua mwanaume, kisa simba tu unapayuka ovyo na kucheka cheka, kwakwakwa, una akili timamu, mwanaume aliyetahiriwa hayuko hivyo, ooh simba sjui atafanywaje kwakkwakwa pumbavu kabisa, hata kama huipendi timu, itoshe kuiheshimu kwa inachofanya , chuki kwa timu nyingine isikufanye ukajisahau kua wewe ni mwanaume na unapaswa kuekt as a man, sio kila saaa kwakwakwwakwa !
Simba kuinanga Yanga halkadhalika Yanga kuinanga Simba ndio utamaduni wetu hatujawahi ombeana mema hata mwaka mmojaJifunze kua mwanaume, kisa simba tu unapayuka ovyo na kucheka cheka, kwakwakwa, una akili timamu, mwanaume aliyetahiriwa hayuko hivyo, ooh simba sjui atafanywaje kwakkwakwa pumbavu kabisa, hata kama huipendi timu, itoshe kuiheshimu kwa inachofanya , chuki kwa timu nyingine isikufanye ukajisahau kua wewe ni mwanaume na unapaswa kuekt as a man, sio kila saaa kwakwakwwakwa !
Hawa wengi wao wameanza kushabikia Simba enzi ya Mo ndio tatzo sielewi anachokulalamikia hapoMkuu naomba nikae kimya tu, uwe na wakati mwema!
Na Simba anavyocheza ugenini mmmhShida ni hiyo kumalizia mechi ugenini.
kweli mkuu nafikiri hivyo ndio maana siajona haja ya kujibishana nae sana, Na ninaona utani huyu haujui kabisaHawa wengi wao wameanza kushabikia Simba enzi ya Mo ndio tatzo sielewi anachokulalamikia hapo
Brocken haaaaaaahaaaaaaa haya nenda kaone wabongo wanavyoongea kiingereza brockeeeeenNaomba connection ya page ya orlando piratea nione jinsi wabongo walivyoivamia na viingereza vyao brocken